Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

Kumbuka Hukumu ya Kesi nyingine ile ni keshokutwa Ijumaa tarehe 10,iwe jua iwe mvua lazima agongwe miaka 30 Jela,wakati huohuo hii Kesi ya Moshi ndio kwanza inatajwa,kazi mnayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuh ni bandika bandua.
 
Mkuu ungewahi mahakamani ukatoe ushahidi wa huo ujambaziwake ingeleta maana badala ya kutomboka humu kama njegima.
Ushahidi gani zaidi ya hao walioporwa kwenye maduka yao kuutoa au ulikua hufuatilii kesi zake za arusha?
 
Mashtaka ya kitoto sana.
Kweli ni mashitaka yasiyo na mashiko. Kisheria mtoa rushwa na mpokea rushwa, wote ni waharifu. Ukiombwa rushwa, usitoe rushwa bali ripoti kwenye mamlaka ya TAKUKURU ambayo ndiyo itaandaa mkakati wa kumkamata huyo muomba rushwa akiwa anapokea hiyo rushwa.

Kwenye kesi hii, Sebaya alimwomba Swai rushwa ya Sh 30 million ili akwepe kodi za TRA. Swai akatoa hiyo rushwa bila Takukuru kuwepo wala kuwa na taarifa. Swai hakufanikiwa kukwepa hiyo kodi ya TRA. Hivyo baada ya miezi kadhaa bila mafanikio ya kukwepa hiyo kodi, Swai amemshitaki Sabaya kwa kupokea rushwa yake Swai. Kamshitaki katika mahakama ya hakimu mkazi huko Moshi. Sasa mashiko ya hiyo kesi yako wapi?
 
Back
Top Bottom