CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kama kweli basi hao waliomshambulia ni walegevu sana ilitakiwa tutangaziwe kuwa wameshamzimisha yule mjinga kwa ukatili wake hastahili kuwa hai.Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Sasa hivi huyo ni no rinda.Ashaliwa kitambo 2022 mwezi wa nne kwani hujui
Vilaza kama wewe ndiyo mnasababisha hiyo 'Idara' idharauliwe sana siku hizi.Hakuna cha maelezo yao! Usalama wa taifa ni lisk! Jamaa kweli ni usalama ila shida imeanzia kwa mkuu wa nchi kumkacha! Ata ukiangalia kesi zake hazina ata ushahidi wa maana kwakweli, zaidi utaona tu lazima kuna watu hawamtaki na hawa watu ni wakubwa.
Kila sehemu ina sera na miongozo yake ya kuishi, magereza hali kadhalika. Kuna miongozo ya kinidhamu kwa wale watovu wa nidhamu. Kama Sabaya amekuwa mtovu wa nidhamu basi mamlaka ya kinidhamu imemshughulikia kutokana na sera zilizopo.Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Mi sio mtu kitengo! Ila kitendo cha kuacha shakha kwenye kezi zinazomkabili Sabaya kumeonesha kuwa mna shida nyingine dhidi ya Sabaya ila sio zile mkizozisema hapo mwanzoVilaza kama wewe ndiyo mnasababisha hiyo 'Idara' idharauliwe sana siku hizi.
Fikra zako ni zako, na wala haimaanishi kuwa ni kweli.Tunajua jinsi Chadema ilivyo na Hasira na Sabaya!
Tunajua Chadema mnamchukia Sabaya,kwa sababu ndie aliemtoa Mbowe na Chadema kwenye ulingo wa Siasa kule Hai.
Anatakiwa kutafuta uhuru wa kudumu badala ya uhuru wa kutokuwa gerezani. Anaweza kutoka gerezani lakini akaendelea kuwa mfungwa wa dhamira maisha yake yote.Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!
Sabaya is a free Man Soon!
Malipo.ni hapa hapa duniani. Ukitenda mema utalipwa mema. Ukitenda mabaya utalipwa mabaya. Mateso aliyowapa watu hayatamuacha Bure. Na atakufa siku si nyingi.Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
H.A.Y.A.T.U.H.U.S.UKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Wangeua tu...hatumuhitajiKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Wewe utakua mlikua mnavunja wote maduka ya watu siyo bure.Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!
Sabaya is a free Man Soon!
Apigwe tu kama anachochea ghasia gerezani, tena apigwe pale kisogoni kwenye nunduKikosi Maalum Cha Kuziua Ghasia Gerezani ni balaa wakiingia sehemu ni kazi kweli kweli kama ikiwa taarifa hii ni ya ukweli.
kikosi maalum cha kuzuia ghasia Gerezani wanaotambuliwa kwa kifupi (KM) kazi yao ni kurejesha nidhamu ndani ya gereza na huwa hawalengi mtu mmoja bali wote ili kurejesha hali ya kawaida inayotakiwa.
Ni ngumu KM kuelekeza majukumu yao kwa mtu mmoja, wao ni kuelekeza majukumu yao kwa wote kwa wakati mmoja.
Sikubaliani I na wee mkuu hili Ni wazo lako kwa hyo ukikatibia kutoka unapigwaHapana!
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!
Sabaya is a free Man Soon!
Kumbe magereza wanawaoneaga wanaokaribia kuachiwa eti!Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!
Sabaya is a free Man Soon!
Kwa hiyo hao watu ni wakubwa kuliko Usalama?Hakuna cha maelezo yao! Usalama wa taifa ni lisk! Jamaa kweli ni usalama ila shida imeanzia kwa mkuu wa nchi kumkacha! Ata ukiangalia kesi zake hazina ata ushahidi wa maana kwakweli, zaidi utaona tu lazima kuna watu hawamtaki na hawa watu ni wakubwa.
Sijawahi na ninaomba Mungu aniepushe.Ushawahi kuonja gereza au mahabusu mamasamia
Ova
Akitoka tu anakuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, hao asikari wamsubiri.