Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Tulikuwa tunamsubiria kwa hamu huyu kijana na walah atatujua!
 
Yupo Kisongo au Karanga?
 
Toka siku ya kwanza ! Alitakiwa kuwa Low na Mkimya. Akutakiwa taja sijui waziri sijui Serikali. Alitakiwa kuwa kimya na kujibebesha yote yeye kama yeye!! Zamani sisi tukiwa watoto iwapo ukiwa kitaa wazee wanacheza BAO! Iwapo mzee mmoja akatoa hewa kwa Sauti! Madogo mmoja wenu anajibebesha Mabomu! Anajibidhi Ahibu ya Muhusika🙏🏽. Atasimangwa ata chekwa! Lakini Mwisho wa siku wakubwa na Muhusika .Wote japo wanajua UKWELI ! Dogo atapewa Msala yeye! Mwishoe Dogo atatafutwa na Muhusika atapewa Jogoho na Kizawadi cha kumsitiri live eneo la tukio😁! Sabaya akuwa hivyo. POLE YAKE MAANA ATA LEMA WA CHADEMA WAS THERE NA WALICHOKUWA WANAMFANYIA AJAWAI SEMA AND IS COMING BACK! Sabaya tupate Nandi anasemaje juu yake.no fear no mercy
 
Mi namshauri avumilie tu hicho kipigo,maana huku nje wanamtafuta kumtoa roho kabisa,ndio malipo yake hayo.
Hakuna mwenye ujanja wa kumgusa huko nje kwenu. Huko nje yote ni majibwa koko tu.
Wameshindwa kumgusa Makonda ndiyo wamguse Sabaya??
Makonda akionekana mitaa Mwenge, Kariakoo, Manzese, Sinza, Posta wanaume wa Dar wanamkimbilia kupiga naye selfie na kujipiga selfi ili atokee kwenye picha zao.
 
yule atobolewe hata macho ni sawa tu, amefanyia watu unyama sana huko arusha na moshi
 
Ni vizuri tukapata taarifa juu ya hili. Sabaya alikuwa kiongozi, askari kupata ujasiri wa kumshambulia kiongozi si bahati mbaya! Hata kama humpendi hii si sawa ....

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 

Mbona kakimbilia Rwanda?
 

Kama mkuu alizimishwa sembuse hao dagaa? Hao wanaachea wakimbie wenyewe.
 
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!

Sabaya is a free Man Soon!

Mpaka kesi ya Moshi iishe. Bado ana kesi nyingi tu Hadi dar.
 
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!

Sabaya is a free Man Soon!

Baada ya kipigo?. Na wamemtandika kweli.
 
Umenikumbusha huyo waziri wa mashauri ya ndani wa Kenya mmasai alitwa Ole Tiptip.
 
Tunajua jinsi Chadema ilivyo na Hasira na Sabaya!
Tunajua Chadema mnamchukia Sabaya,kwa sababu ndie aliemtoa Mbowe na Chadema kwenye ulingo wa Siasa kule Hai.

Sabaya gani amtoe Mbowe. Huyu aliyeolewa gerezani? Punguza uongo. Ule haukuwa uchaguzi Bali ujinga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…