Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
๐คYupo Mkulungwa anadai kuna tetesi za mpango wa kumuachia siku chache zijazo. Nikiunganisha na hili la 'kuchezea kichapo', naona kama yanatengenezwa mazingira! If you know you know..
Dogo nenda kijiweni kadanganyane na vipofu wenzako usijidai unajua mambo usiyo yajua humu ndani ukafikiri kila mtu ni mnywa kahawa mwenzakoWEWE FALA... MAKOMANDO SIO WATU WA MCHEZO! MAZUNGUMZO YAO HUFANYA NA RAIS WEWE UNAWACHUKULIA KAMA WEWE USHASHIBA WALI WALI WAKO WA BUKU MBILI NA MO-ENERGY HAPO PEMBENI UNATUMIA FREE YA WIFI YA STATIONARY BASI UNAPAYUKA TU KAMA UNAKUNYA YAAN ๐
DuuhHataki kukubali kwamba "kama angekuwa TISS kweli asingefika huko! Wala asingekuwa na madudu ya namna hiyo. Yaani ni akili tu ya kufikirika.
Mwambie atutajie ni kiongozi gani anayemjua yeye anayehisiwa ni TISS anafanyaga blunders za namna ile?! Fuatilia wakuu wa mikoa waliokuwa wanajeshi walioteuliwaga na marehemu Magufuli uone kama walikuwa ma nidhamu za hovyo namna ile... Ukizingua ni jela za kijeshi tena kwa siri! Au kifo! Inasemekana DIWANI ATHUMANI MSUYA kazingua juzi... ulisikia wapi kapelekwa kizimbani?! Au mahabusu?! Jeshi wako fully! Lucha
ni kama yule kiranja anayejikomba kwa walimu na kujkuta yeye ndo mbabe na kuonea wengine siku akikamatishwa kila mtu anafurahiKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
JESHI KITU KIKUU KINAANGALIWA NI NIDHAMU NDUGU MJAMAICA! NIDHAMU! NIDHAMU! NIDHAMU!Duuh
Lucha ndugu yangu kwani mnapishana wapi na @Hoehae??????Mbona wote mna hoja nzuri tu!!!Huna cha maana unachoweza kujibu maana hujui chochote utaishia kuniita mjinga tu ila hujui mjinga ni wewe unaeandika mambo usiyo yajua, kichwani ni mweupe sana kiasi cha kushangaa kusikia commando kafukuzwa kazi, sasa mambo makubwa utayajulia wapi?
Jeshini ndio pekee kumebaki na tumaini. Kwingine hamnaJESHI KITU KIKUU KINAANGALIWA NI NIDHAMU NDUGU MJAMAICA! NIDHAMU! NIDHAMU! NIDHAMU!
NIMEMUULIZA HUYO JAMAA... MAGUFULI ALIKUWA NA UTARATIBU WA KUWATEUA SANA HAWA JAMAA MAANA NDO RAIS PEKEE BAADA YA NYERERE NI YEYE NDO ALIONA UMUHIMU WA HAWA WATU.... JE! KATIKA WALE WALIOTEULIWA ALIWAHI KUSIKIA MADUDU YA UKOSEFU NIDHAMU WA NAMNA ILE?! NAHITAJI TU AJIBU.
Mimi nakunywa kahawa MIKOCHENI "B" (KWA WARIOBA), MTAA WA KIFARU. NJOO UONE VIJIWE VYA HUKU VILIVYO NA WATU WA HUKU. UNADHANI KILA MTU NI MJINGA MWENZAKO HAPA AU ID ZINAKUDANGANYA?! ๐๐๐๐๐Dogo nenda kijiweni kadanganyane na vipofu wenzako usijidai unajua mambo usiyo yajua humu ndani ukafikiri kila mtu ni mnywa kahawa mwenzako
Nonsense.
Hakuna haja ya kutukanana muhimu sabaya yuko korokoroniMimi nakunywa kahawa MIKOCHENI "B" (KWA WARIOBA), MTAA WA KIFARU. NJOO UONE VIJIWE VYA HUKU VILIVYO NA WATU WA HUKU. UNADHANI KILA MTU NI MJINGA MWENZAKO HAPA AU ID ZINAKUDANGANYA?! ๐๐๐๐๐
POLE SANA!
Nafkiri Mr.Melo aunde (programu) kitu kama Clubhouse itatusaidia sana kuweka mijadala tukawa tunaichambua kwa njia ya sautiLucha ndugu yangu kwani mnapishana wapi na @Hoehae??????Mbona wote mna hoja nzuri tu!!!
๐ฎMimi nakunywa kahawa MIKOCHENI "B" (KWA WARIOBA), MTAA WA KIFARU. NJOO UONE VIJIWE VYA HUKU VILIVYO NA WATU WA HUKU. UNADHANI KILA MTU NI MJINGA MWENZAKO HAPA AU ID ZINAKUDANGANYA?! ๐๐๐๐๐
POLE SANA!
Nimekosea sana kubishana na mtoto ambae bado hajapata nafasi ya kuyajua mengi na hilo ndo kosa kubwa ambalo sikulijuaLucha ndugu yangu kwani mnapishana wapi na @Hoehae??????Mbona wote mna hoja nzuri tu!!!
Hii idea nzuri sana ngoja tujaribu kuifanyia kaziNafkiri Mr.Melo aunde (programu) kitu kama Clubhouse itatusaidia sana kuweka mijadala tukawa tunaichambua kwa njia ya sauti
Sisi sote humu JF tunaelimishana na tupo watu wa kada tofauti tofauti ndugu yangu!!!Nadhani mjadala uendelee kwa amani sababu nyie wote @ Lucha na @Hohehae ni watu muhimu na michango yenu katika mada tofauti tofauti tunaithamini!!!Tofauti za kimtazamo katika mambo ni kawaida tu kwa wasomiNimekosea sana kubishana na mtoto ambae bado hajapata nafasi ya kuyajua mengi na hilo ndo kosa kubwa ambalo sikulijua
Unafkiri kuomba wazo hili litiliwemkazo... ni jukwaa gani tuweke maombi haya yapate promo ya haraka, wachangiaji wengi, wakubwa waone na lifanyiwe kazi kwa haraka?Hii idea nzuri sana ngoja tujaribu kuifanyia kazi
Ngoja nichangie hii hoja na wadau wengine wa humu JF afu nitakujuza ndugu yanguUnafkiri kuomba wazo hili litiliwemkazo... ni jukwaa gani tuweke maombi haya yapate promo ya haraka, wachangiaji wengi, wakubwa waone na lifanyiwe kazi kwa haraka?
kwenye jukwaa gani?!Ngoja nichangie hii hoja na wadau wengine wa humu JF afu nitakujuza ndugu yangu