Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Usalama wa taifa ukizingua wanakutupa aisee,labda utende kwa maelekezo yao
 
umenikumbusha waziri wa kenya sijui ni wizara gani alisema wafungwa hawatakiwi kunywa uji wa sukari wala kulala na godoro wateseke.sheria ikafatwa ikaja kumuangukia yeye kuwa mfungwa na kuanza kulalamika.
sabaya anakula alichofanya aliowafanyia kakutana nao jera.
jifunzeni jera inamchukua kila mtu.ndio maana hakimu,polisi,wababe uzimia wanapofika jera
 
Yote haya ni malipo ya kumtegemea mwanadam na kumfanya ndio ngao yake!! Jaman tumtegemee MUNGU sana hata kama tumepewa madaraka ya kuongoza wananchi!!!
 
Kwangu sidhani Kama nitasikitika hata kidogo sabaya ni nduli naungana na jamaaa aliyesema ahasiwe
Duuh huo sio ubinadamu. Hata kama alokosea hapaswi kufanyiwa yale yale maana itakuwa hakuna tofauti ya yeye na sisi.

Ahukumiwe kwa alichofanya ila sio afanyiwe unyama.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…