Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.

Mwosha huoshwa
 
Kila ubaya utalipwa
 
Mungu marehemu, ikiwezekana ajitwalie kiumbe chake
 
Huyu huyu General sabaya ??! Acha apigwe tu maana hakuna namna

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Nimesikitishwa sana na walichofanya hao askari magereza. Wameenda kinyume kabisa na majukumu yao. Wanapataje nafasi ya kumpiga Sabaya na kumwacha hai? Hao Askari washushwe vyeo hawajatutendea haki sisi tunaomchukia jambazi Sabaya.
Ilitakiwa wambadilishe tittle kabisa 🤣🤣🤣
 
Mjinga kabisa, anajifanya kuleta jeuri akidhani bado ana yale madaraka yaliyompa kiburi cha kufanyia watu ukatili.
Unajua mwanzo wa mzunguko ama duara la Karma? Kama unajua Kila la heri lakini kama hujui jiepushe na mizengwe ya karma.

Sijui umenielewa ??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…