Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
wangemuua kabisaaKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio. Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Hatakiwi kuishi huyo. Toka akiwa UVCCM Arusha alikuwa mtu wa hovyo mno. Tulishangaa sana Shujaa wa Chato alipomteua kuwa DC. Kuna watu walikimbia familia zao kukwepa kubambikiziwa kesi ya uhujumu uchumi. Speshoz wakati anafungua kiwanda chake cha pombe kali huko Hai alikutana na misukosuko ya shetani Sabaya. Imagine Speshoz pamoja na kujuana na mawaziri ila haikusaidia.Ilitakiwa wambadilishe tittle kabisa 🤣🤣🤣
Jamaa maku sana[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We mtt acha hizoo
Sabaya alikuwa hatumii akili kabisa. Kina Gambo walikuwa makatili ila waliposoma alama za nyakati wakabadili gia angani fasta. Hata Makonda pamoja na ukatili alikuwa haendi kifala kama Sabaya.Hivi mbona huyu wameamua kumkaanga na kumkausha haswa kuliko yule mwenzake wa Koromije ?
Kosa gani alilifanya kwa Mama yake mpaka ashindwa kumsamehe na kumwachia awe guru?
Nundu anayo kisogoni tayari...wamtoe bikra tu yatoshaNatamani askari jela mmoja apatikane amipge kichwa Kwa kichwa amtoe nundu boya sana yule
huyu sindie aliekuwa akiamlisha hao polisi kupiga watu leo kapigwa yeye siamini kweli mteule wa magufuli kapigwa mbona wote waliompiga magu atawafuta kaziKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio. Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Ningepata namba za simu za hao askari waliomshambulia ningewajaza pochi ya kuinjoy!Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio. Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Saa mbovu kasikiasikia tetesi kwamba anaachiwa huru februari 15 kaanza kupandisha mabega gerezani! Si waliue kabisa!Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio. Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Nasikia eti kagomea kupakwa mafuta ya Baby Care, wanampakaje mafuta wana nia gani?Huyo wampake KY Jelly aliwe tu shenzi kabisa.
Ashukuru yuko ndani, maana angekuwa na hali mbaya saa hii mtaani.Unataka ahasiwe ili asikufanyie ukatili tena?
Hilo linamsubiri aliyetoka Ubeleji. Stay tuned!