Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Pole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
kule ni mahala panapotaka heshima na unyenyekevu ukiitwa na askari unaitika naam bwana mkubwa,manunda waliyokomaa sura na nakozi hadi inakuwa kama kidole kingine kinaota juu wapo kule c uswahilini huku.
 
Wanapiga kwerikweri

Ova
 
Nimesikitishwa sana na walichofanya hao askari magereza. Wameenda kinyume kabisa na majukumu yao. Wanapataje nafasi ya kumpiga Sabaya na kumwacha hai? Hao Askari washushwe vyeo hawajatutendea haki sisi tunaomchukia jambazi Sabaya.
Unakymbuka wakina mdee,Jacob bulaya na wengineo kilichowakuta gereza la segerea [emoji1] kipondo hicho

Ova
 
Nimeanza kumuonea huruma kama binadamu daah inauma
Ninapopitia maoni ya watu juu ya huyo Bwana mdogo hadi nashawishika kudhani km huko gerezani ndiyo uliko usalama kwake kuliko akija uraiani. Ni kama vile Arusha ile haikuwah kumshuhudia mtu katili zaid ya Sabaya....duh🤭
 
Mi ninachojua watu wa Serikali wanasoma JF....
Ushauri kama akitoka General Sabaya basi afichwe kwa siri tena nje ya Arusha/Kilimanjaro

Bila hivyo atapotezwa kisha kulaumiana kuanze
 
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Huenda aliwatunishia misuli ...kwanini ashambuliwe yeye na siyo wafungwa wengine ukizingatia alikuwa kiongozi wa umma na alitakiwa kuonyesha mfano kwa wafungwa wengine gerezani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…