Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Nataka wamfire na kumuua kabisa kenge huyo
 
Pole sana kwake.Ila cha msingi inabidi ajue sasa yeye ni mfungwa wa jinai siyo DC tena.So atii sheria za magereza.Lazima atapigwa tuu maana hamna namna.kama anaambiwa usifanye hivi yeye anafanya.Atapigwa sana
 
Pole sana kwake.Ila cha msingi inabidi ajue sasa yeye ni mfungwa wa jinai siyo DC tena.So atii sheria za magereza.Lazima atapigwa tuu maana hamna namna.kama anaambiwa usifanye hivi yeye anafanya.Atapigwa sana
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!

Sabaya is a free Man Soon!
 
Haya huenda ni maigizo ya Sabaya mwenyewe ili kutafuta huruma.
 
Siku zote mtenda hutendwa na muda ni msemaji na mtendaji mzuri sana
 

Uache ujuaji, akikosea mtu mmoja anashughulikiwa kama yeye peke yake, atatwangwa bila hata hao KM, have personal experience na uvamizi wa KM, ni watata sana, ila ukiwa msikivu wala hutazurika
 
Usalama wa taifa ukizingua wanakutupa aisee,labda utende kwa maelekezo yao
Hakuna cha maelezo yao! Usalama wa taifa ni lisk! Jamaa kweli ni usalama ila shida imeanzia kwa mkuu wa nchi kumkacha! Ata ukiangalia kesi zake hazina ata ushahidi wa maana kwakweli, zaidi utaona tu lazima kuna watu hawamtaki na hawa watu ni wakubwa.
 
SIJUI NIJIBUJE

MWOSHA. HUOSHWA

MKATAA PEMA PABAYA PAAMWITA

MCHAMBA WIMA.......

MALIPO HAPA HAPA DUNIAN

UKIPENDA KULA VYA WENZIO SHARTI ULIWEEE

ASIE ...LA.MKUUU UVUNJIKA GUUUU

YAAAN KAMA KAKUTUMAAA.MPE HUU UJUMBEEEE


ATOKIIIIIIIII

ATOKIIII

ATOKIIII
ATOKIII
YAAAN HATOTOTOOOKAAA ASAHAU ANDIKE URITHI
 
Aisee..
 
Wacha lishambuliwe tu ilo jambazi tena wampige kisawa sawa, nae aliwashambulia sana wenzake enzi za ukuu wa wilaya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…