Sabaya anajitekenya na kucheka mwenyewe.
Hii defence anayotoa kizimbani sio ya kisheria ni imaginations ambazo hazionekani kwenye macho ya sheria.
..kuna mtu ameamua kum-fix Sabaya.
..who is that? WHY?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabaya anajitekenya na kucheka mwenyewe.
Hii defence anayotoa kizimbani sio ya kisheria ni imaginations ambazo hazionekani kwenye macho ya sheria.
Waliobaki mtaani wanadunda ni suala la muda tu. They gonna pay for their sins...kuna watu ndani ya ccm na serikali wana chuki na Sabaya.
..mbona wenzake waliodhulumu na kuumiza wapinzani wanaendelea kudunda mtaani?
..Sabaya ajitafakari alimkosea nani ktk ccm na serikali? Kwanini ametolewa kafara? Why him and not anybody else?
Huko tuendako yote yatakuwa wazi tu, muda utaongea. Jiulize kwa nini watoto wa viongozi waliopita wanapewa madaraka? Je, tumerudi kwenye uongozi wa watemi?..kuna mtu ameamua kum-fix Sabaya.
..who is that? WHY?
Waliobaki mtaani wanadunda ni suala la muda tu. They gonna pay for their sins.
.ila ninashangazwa kwamba wale wengine waliotenda kama yeye au zaidi mbona hawashtakiwi?
Wahuni sio watu wazuriAcha Wahuni wamgongee demu wake kwanza
Huko tuendako yote yatakuwa wazi tu, muda utaongea. Jiulize kwa nini watoto wa viongozi waliopita wanapewa madaraka? Je, tumerudi kwenye uongozi wa watemi?
..hutasikia yeyote akishitakiwa zaidi ya sabaya.
Huyu nilisha mfuta hata kabla ya kesi yake, kwamba serikali ilikua inamtuma kupora,piga watu misumali, nyanganya wake za watu, hakuna serikali ya ivyo labda ile ya Amini wa Uganda inasemakana ilifanyaMshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Hata Kaisari Julius wakati wake ulifika akaondolewa kama mbwa koko...i don't think so.
..hutasikia yeyote akishitakiwa zaidi ya sabaya.
Kama ni kweli hao wengine tunaojua walifanya mabaya zaidi ya Sabaya hawatashitakiwa basi nami nabashiri kuwa Sabaya hata tumikia hicho kifungo kwa muda mrefu, atapata msamaha!!!
Pumbavu. Kumbe tulikuwa na DC hanithi wa kufikiri.Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Hakunya?Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Kwa mbali nasikia Mtemi Kikwete ndiye anaongoza nchi. Hata mtemi Hangaya hana chake tena. Hivi kweli hawa wanafaa kuwa mawaziri? January hadi February au Riziki ipo kwenye hi-Rizi-wani? Watanzania wengi hawataki kuwa wauza unga bana?..🤣🤣
..hebu acha vijembe bwana.
..Znz walimpindua Sultan Jamshid, sasa wameleta Sultan Hussein Mwinyi.
..Na kabla ya hapo alikuwepo Sultan Aman Karume.
..Na huku Tanganyika ndio usiseme.
Ana bahati sana kupata nafasi ya kutubu akiwa hapa hapa duniani. Na serikali inamsaidia kumwonyesha makosa yake ili afanye toba ya kweli.Huyu nilisha mfuta hata kabla ya kesi yake, kwamba serikali ilikua inamtuma kupora,piga watu misumali, nyanganya wake za watu, hakuna serikali ya ivyo labda ile ya Amini wa Uganda inasemakana ilifanya
Hawa ni vijana Kati ya wengine waliojipendekeza mpaka kujiona ni Mungu mtu ,kisa una connection ya karibu,laki sio kweli kwamba mengine walikua wanatumwa na serikali au mwendazake, kwani mwongozo wake Kama aliekua mkuu wa wilaya unasemaje, mpaka fikia mama mmoja mpa laana akiwa mahakamani,kwamba wamshushe akamgate mahali,
Sabaya bado anamengi ya kulipa dunian achana na mbinguni
Bora sabaya kuliko huyo mama yenu anayesema kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.Jambazi mkubwa lengai ole jambazi
Hata Kaisari Julius wakati wake ulifika akaondolewa kama mbwa koko.
Dunia haina anayeiweza
Sabaya amemkosea au alimgusa nani ktk ccm na system?
Huyo muarusha jambazi anastahili kufungwa miaka 50Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Classic!Bora sabaya kuliko huyo mama yenu anayesema kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.