Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

..kuna watu ndani ya ccm na serikali wana chuki na Sabaya.

..mbona wenzake waliodhulumu na kuumiza wapinzani wanaendelea kudunda mtaani?

..Sabaya ajitafakari alimkosea nani ktk ccm na serikali? Kwanini ametolewa kafara? Why him and not anybody else?
Waliobaki mtaani wanadunda ni suala la muda tu. They gonna pay for their sins.
 
.ila ninashangazwa kwamba wale wengine waliotenda kama yeye au zaidi mbona hawashtakiwi?

I can guess who you are insinuating; kila mtu kwa Wakati wake , hao wengine Wakati wao utakapowadia nao itabidi wawajibike!!!
 
Huko tuendako yote yatakuwa wazi tu, muda utaongea. Jiulize kwa nini watoto wa viongozi waliopita wanapewa madaraka? Je, tumerudi kwenye uongozi wa watemi?

..🤣🤣

..hebu acha vijembe bwana.

..Znz walimpindua Sultan Jamshid, sasa wameleta Sultan Hussein Mwinyi.

..Na kabla ya hapo alikuwepo Sultan Aman Karume.

..Na huku Tanganyika ndio usiseme.
 
..hutasikia yeyote akishitakiwa zaidi ya sabaya.

Kama ni kweli hao wengine tunaojua walifanya mabaya zaidi ya Sabaya hawatashitakiwa basi nami nabashiri kuwa Sabaya hata tumikia hicho kifungo kwa muda mrefu, atapata msamaha!!!
 
Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Huyu nilisha mfuta hata kabla ya kesi yake, kwamba serikali ilikua inamtuma kupora,piga watu misumali, nyanganya wake za watu, hakuna serikali ya ivyo labda ile ya Amini wa Uganda inasemakana ilifanya

Hawa ni vijana Kati ya wengine waliojipendekeza mpaka kujiona ni Mungu mtu ,kisa una connection ya karibu,laki sio kweli kwamba mengine walikua wanatumwa na serikali au mwendazake, kwani mwongozo wake Kama aliekua mkuu wa wilaya unasemaje, mpaka fikia mama mmoja mpa laana akiwa mahakamani,kwamba wamshushe akamgate mahali,

Sabaya bado anamengi ya kulipa dunian achana na mbinguni
 
Kama ni kweli hao wengine tunaojua walifanya mabaya zaidi ya Sabaya hawatashitakiwa basi nami nabashiri kuwa Sabaya hata tumikia hicho kifungo kwa muda mrefu, atapata msamaha!!!

..ukiona mwana-ccm anashtakiwa ujue kuna mahali aligusa hakutakiwa aguse.
 
..🤣🤣

..hebu acha vijembe bwana.

..Znz walimpindua Sultan Jamshid, sasa wameleta Sultan Hussein Mwinyi.

..Na kabla ya hapo alikuwepo Sultan Aman Karume.

..Na huku Tanganyika ndio usiseme.
Kwa mbali nasikia Mtemi Kikwete ndiye anaongoza nchi. Hata mtemi Hangaya hana chake tena. Hivi kweli hawa wanafaa kuwa mawaziri? January hadi February au Riziki ipo kwenye hi-Rizi-wani? Watanzania wengi hawataki kuwa wauza unga bana?
 
Huyu nilisha mfuta hata kabla ya kesi yake, kwamba serikali ilikua inamtuma kupora,piga watu misumali, nyanganya wake za watu, hakuna serikali ya ivyo labda ile ya Amini wa Uganda inasemakana ilifanya

Hawa ni vijana Kati ya wengine waliojipendekeza mpaka kujiona ni Mungu mtu ,kisa una connection ya karibu,laki sio kweli kwamba mengine walikua wanatumwa na serikali au mwendazake, kwani mwongozo wake Kama aliekua mkuu wa wilaya unasemaje, mpaka fikia mama mmoja mpa laana akiwa mahakamani,kwamba wamshushe akamgate mahali,

Sabaya bado anamengi ya kulipa dunian achana na mbinguni
Ana bahati sana kupata nafasi ya kutubu akiwa hapa hapa duniani. Na serikali inamsaidia kumwonyesha makosa yake ili afanye toba ya kweli.

Akiendelea kushupaza shingo, atalipa kila baya hata katika ulimwengu mwingine.
 
Hata Kaisari Julius wakati wake ulifika akaondolewa kama mbwa koko.

Dunia haina anayeiweza

..Ni vizuri kuishi kwa matumaini kwamba iko siku haki itatendeka.

..lakini kwa hapa Tanzania mimi nimeishi miaka ya kutosha siamini kama aliyedhulumiwa na serikali zetu anaweza kupata haki.

..kuna watu walipotezwa Zanzibar miaka ya 70 na mpaka leo haki haijatendeka. inajulikana walikamatwa na serikali na miili yao haijaonekana mpaka leo, na hakuna aliyewajibishwa.
 
Sabaya amemkosea au alimgusa nani ktk ccm na system?

Sabaya overrated himself and became overconfident and in the process he unknowingly touched some raw nerves ; kiasi cha hata kuwadhalilisha maofisa wakuu wastaafu wa serikali!!
 
Back
Top Bottom