Sabaya na Makonda hawastahili kushtakiwa

Jinga wewe,hao ni majambazi
 
Mimi naonga mkono hoja niujinga kuwashtaki hawa watu Kwan kipindi hicho waliokuwa wanafanya kulikuwa hakuna mahakama huyo Raisi Alikuwa haoni kinachofanyika kimsingi uindwe katiba mpya madaraka yawe na mipaka. Km hivyo wakimaliza kumshtaki Makonda wamshtaki na Mwenda zake hukohuko alipo.
 
Mwanadamu unapoagiza zingatia sheria.

Mungu alitumia mamlaka baada yakuhesabu viroba vya binadamu na wananchi walipohoji walijibiwani WAHAMIAJI HARAMU.
Kwa nchi kama Zetu huku ukifuata sana demokrasia kutoboa kazi
 
Unawezaje kuandika upumbafu mkubwa hivi?? Alafu utakuta umefika lasaba!!

-Mtu yanakula rushwa unasema aachwe kwakuwa ni mfumo?
-Mtu anahujumu uchumi aachwe Lisa nimfumo.
-Mtu anaharibu investment zawatu aachwe kisa nimfumo?
-Amenyanyasa watu kuwachafua na kuwafunga bila kesi unatuambia aachwe?
-Jitu limeteka watu kipumbafu na kuwatesa tuliache kisa mfumo?
-Kunatuhuma jitu liliua na kupiga Mtu risasi tumwache kisa???
Achaga kutuandikia ujinga huku koma kutumika mjinga mmoja wewe!!
 
Naomba asikari jera mnaomhudumia sabaya muendelee kumgongesha virungu, na akabidhiwe nyampala limbikiri kabisa.

Makonda akitiwa nguvuni nitajicholesha kwa kosa la uzurulaji ili nile miez 3 nikambikiri bashite matako.
Chadema na ufirj naona ndo sera yenu.
 
Ni maagizo kutoka juu mkuu
 
Nani sasa anastahili kushitakiwa?
 
Kiongozi yupi ambae hakupora ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…