- Thread starter
- #61
Unajisikiaje leo ?Hao uliowataja wana roho za kishetani tu na walifanya ubaya mwingi kwa maslahi yao binafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajisikiaje leo ?Hao uliowataja wana roho za kishetani tu na walifanya ubaya mwingi kwa maslahi yao binafsi.
SawaNaomba asikari jera mnaomhudumia sabaya muendelee kumgongesha virungu, na akabidhiwe nyampala limbikiri kabisa.
Makonda akitiwa nguvuni nitajicholesha kwa kosa la uzurulaji ili nile miez 3 nikambikiri bashite matako.
Hahahaa acha sheria ifuatweSaizí tutakuwa tunamalizana nao mtaani huku huku.
Nakumbuka siku ile nilikuwa najiandaa kulala. Nilivyosikia mshindo nikatoka nje nikaenda kuhonga mvinyo mpaka kuchele17march tulipigwa na kitu kizito kichwani tukapoteana.
Roho mbaya hazijengiNakumbuka siku ile nilikuwa najiandaa kulala. Nilivyosikia mshindo nikatoka nje nikaenda kuhonga mvinyo mpaka kuchele
Hakika ilikuwa furaha sana
Sawa unakumbuka aliua, kuteka na kutesa wangapi???Roho mbaya hazijengi
Una ushahidi ?Sawa unakumbuka aliua, kuteka na kutesa wangapi???
Free SabayaWanastahili kufa
Makonda kafanya mambo hukoPeleka ujinga kwenu, ukiona huna neno au hisia za kushare you better read others
Umeongea ukweliSababu kubwa kwanini hawastahili kushitakiwa ni Katiba yetu inatoa mamlaka kubwa sana kwa taasisi ya Urais ,hivyo kila Rais anateua kulingana na mfumo anaotaka kuongoza.
Awamu iliyopita iliamini ukitakuongoza nchi za Afrika ni lazima ulazimishe watu watii amri, wafanye kazi, na hela iingie serikalini kwa Namna yoyote ile ili Miradi mbali mbali iindelee.
Hivyo Viongozi kama kina Sabaya na Makonda waliteuliwa sababu walikuwa na uwezo wa kusimamia hayo aliyo amini Rais
Vivyo hivyo kwa awamu zilipita kuna wateuliwa /watumishi walikuwepo kwa Ajili ya kutumika na Ofisi hiyo, hata Awamu hii kuna ni hivyo hivyo.
Hivyo tukianza kushitakiana:
1. Taasisi hiyo kuna kipindi itakosa watu wa kuitumikia vyema kila mtu atakuwa muoga.
2. Hizo kesi hazitaisha mahakamani ukianza kushitaki kuanzia Awamu ya Kwanza mpaka sasa ni nyingi sana.
Mwisho sio rahisi kama tunavyo chukulia nadhani ambao wameshawahi kuwa viongozi wanaelewa ugumu ulivyo Wewe una plan hivi kuna baadhi ya watu wanakwamisha juhudi hapo ndio inapokuja shida ya kushughulika na hao watu.
Kikubwa hao vijana walikuwa wanafanya kulingana na mfumo ulikuwa unataka nini labda tushitaki mfumo au Katiba kwa kuiipa Madaraka makubwa hiyo Taasisi.
Hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya madaraka hivyo hao walikuwa wanafuata maagizo tuKatiba inasemaje kuhusu ilo?
Mahalu Prof mhuni sana, alimla Grace Martin na Grace akamkimbia Martin hadi kesho, Martin akaibukia upande mwingine kutaka kumfunga Pro Mahalu, mkapa akaibukia upande mwingine akapanda kizimbani kumuokoa Mahalu. Tanzania kuna sinema nyingi sanaAlishtakiwa Mramba, Mahalu tena kwa makosa yasiyo dhahiri ya matumizi mabaya ya madaraka, huyo Makonda na Sabaya ni nani? Tena wana makosa ya Ujambazi na Unyang'anyi na dhuluma hadi ku-rape halafu mtu mjinga kama wewe unaleta upunguani unaandika ushenzi humu.
Kwani mbona jiwe alifunga watu wengi kwa kisingizio cha uhujumi uchumi kisa tu kulipiza visasi.
Ninyi sukuma GANG hamna nafasi tena tulia mumeo makonda siku zinahesabika
Mambo ya kina Mahalu yasiingie humuMahalu Prof mhuni sana, alimla Grace Martin na Grace akamkimbia Martin hadi kesho, Martin akaibukia upande mwingine kutaka kumfunga Pro Mahalu, mkapa akaibukia upande mwingine akapanda kizimbani kumuokoa Mahalu. Tanzania kuna sinema nyingi sana
Mungu mkubwa mmekosa ushahidiSawa unakumbuka aliua, kuteka na kutesa wangapi???
ukiambiwa kula mavi utakula sababu anaekwambia ni mkubwa wako ?Hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya madaraka hivyo hao walikuwa wanafuata maagizo tu