Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha


Vijana wa siku hizi wanapenda watu wajinga jinga kama Sabaya.
 
tuwekee hukumu TANZLII haipo
 
Haya basi alambishwe teuzi mara moja kupooza machungu aliyopitia. MUNGU wa mbinguni ndiye hakimu kwa wote waliofanyiwa dhulma na chama chakavu.
 
Utawala wa kidhalimu na visasi kutoka kwa baadhi ya viongozi wa serikli (Kaisari)na wapinzania uchwara umeaibishwa kupitia haki iliyotolewa na Pilato.

Sabaya ndio kiongozi pekee pamoja na baadhi ya viongizi waliokuwa chini ya JPM watakuja kuwakomboa wananchi kutoka kwa mabwanyenye waliopoka uongozi kwa nia ya kufhulumu, kufanya visasi na kufisidi maliasili za umma.

A big blow to the sadists who are persistently attacking JPM's personality and his past regime; they may eventually gnash and succumb once they realize they are being strategically used by politicians to cushion their evils.
 
The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaepa? chini ya viapo vyao?
Punguza hasira

Kama ulikula demu wa Sabaya ukitegemea atafungwa jiandae kisaikolojia
 
The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaepa? chini ya viapo vyao?


Tulia kwanza.

Vuta pumzi ya kutosha na ujaribu kuushirikisha ubongo wako kwenye matamshi yako.
 
Huwezi ukawa judge ubwabwa ukategemea utakuwa vizuri upstairs
 
Kwamba hadi wale wananchi waliokatwa masikio na kuingiliwa kinyume kule Hai walikuwa wanamsingizia?
Yule Ustaadh aliyevamiwa dukani kama jambazi, na wale wamiliki wa Hotels na wafanyabiashara je?
Sawa
Ccm wameamua kumsamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…