Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa wa msoga wanazidi kuaibika na bado kesi ya uhaini ya jiwe inawangojaMahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.
Hukumu hiyo iliyosomwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Abesiza Kalegeya, leo Ijumaa Novemba 17, 2023, imesema hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha, badala yake Mjibu rufani wa kwanza Lengai Ole Sabaya, alikuwa katika majukumu yake halali ya kufuatilia Makosa ya uhujumu uchumi kama ilivyoelezwa na Mashahidi wenyewe wa upande wa mashtaka.
Mahakama hiyo ya rufaa iliyokaa chini ya Mwenyekiti wake Jaji Jacob Mwambegele imeeleza zaidi kwamba, Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyomtia hatiani Sabaya na wenzake, ilikosea kutochambua ushahidi unaoonyesha wazi kwamba, haiijawahi kutokea Jambazi akamate Mtuhumiwa, amnunulie Ndizi na baadae kumpeleka Polisi kama Mashahidi wenyewe walivyoelezwa kutendewa na Sabaya.
Majaji wameeleza hiyo ni aina ya kwanza ya unyang’anganyi wa Majambazi kuepeleka waliowaibia Mahakamani, na kuhitimisha kwamba Wajibu rufaa waliachiwa kihalali na Mahakama Kuu.
Mkurugenzi wa Mashtaka alikata Rufaa kupinga uamuzi wa Jaji E. Kisanya, kuwaachilia huru Lengai Ole Sabaya, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha.
Kampeni za kumsafisha zimeanza mapema kbs.Ndugu Zangu Watanzania, Sabaya hata kama alikosea.
Ameshajifunza.
He is a Newborn by now!
Yuko nje kitamboHuyu wamuachie huru tu watesi wake wamshughulikie.
Sio Mahakama za kishenzi, ni waendesha mashtaka wabovu. Kanuni ya mahakama, hata kama Baba Yako ameshitakiana na shetani, shetani aka argue vizuri Kesi yake, basi shetani atapewa Haki.The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaepa? chini ya viapo vyao?
Mkianza kukuta Maiti za hao wasiojulikana msilaumu.Kwa nini mnakwenda mahakamani na Matokeo mkononi??
Sabaya is NOT GUILTY , why mnalazimishe afungwe?
Hawajifunzi hao....sikiliza majukwaa utajua.Ndugu Zangu Watanzania, Sabaya hata kama alikosea.
Ameshajifunza.
He is a Newborn by now!
Umeibiwa Nini we kiazi?Jambazi ni Jambazi tu, Mahakama zipi? Za CCM??
Kiazi ni wewe kama unamwona sabaya ni mtu!Umeibiwa Nini we kiazi?
Una Wakati mgumu sana wewe kilaza wa mboweThe expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaepa? chini ya viapo vyao?
Haya basi ni Jini..bwahahaabhaKiazi ni wewe kama unamwona sabaya ni mtu!
Peleka mashitaka mahakamani.. pumbavuViongozi wa nchi hii ovyo kabisa! Afu bila aibu waweza mpa cheo kama walivyofanya kwa makonda! na watanzania kwa ujinga wao, watashabikia kama wanavyofanya kwa konda!
Unaweza kuona ameshinda kwa maelekezo ya MweneziMahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.