Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

Sikio la kufa ukichanganya na vilio na machozi ya walio athilika na matendo ya kikatili ya huyo mtu lazima apate mapigo.
 
Tutoke kwenye reactive mode twende kwenye proactive mode! Setting news agenda to issues, which matters most! Tuache kuchezea pia, mambo mengi yanatusubiri!
 
atakula alipopeleka ugali
 
Juzi watu walipiga kelele baada ya Sabaya kutumia clouds kujijenga kisiasa na kumfurahisha mteule ili aendelee kula maisha ya udc. Leo kawekwa pembeni kwa tuhuma zile zile za mitandaoni. Je mnaotumika clouds kufanya siasa chafu mnajua madhara yake kwa jamii.? Fedha na madaraka vitawapeleka wapi? Mnapaswa kuomba rqdhi jamii kwa matumiko mnayofanyiwa na wanasiasa
 
Naomba nirudie kuwauliza keanu nyie mnasemaje mawingu?
 
Clouds kosa lao ni lipi?

Mnapigania uhuru wa kuongea ila hamtaki wenzenu waongee.

Tabia za kidkteta hizo...mtu mnataka ahukumiwe bila kujitetea.

Clouds wakihoji msiowapenda inakuwa radio mbaya.

Haya ya Sabaya ni matokeo ya uongozi dhaifu unaocheza ngoma za mitandaoni.

Kiongozi anaeshinda insta kufatilia udaku ni bomu linalosubiri kulipuka.
 
Matend Matendo yake yanatosha kumhukumu hakuna ziada inayohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…