Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Especially unapokuwa hujui, na hujui kuwa hujui! Ebu nipe kitu hapa ndugu yangu ili mawazo yangu yapanuke. Kumbuka pia kuwa maji na chumvi havifanani lakini; solute (chumvi) and solventLike dissolves like! Ukiwa hujui, unawasifu wenzako wasiojua. FINITO!