SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

Like dissolves like! Ukiwa hujui, unawasifu wenzako wasiojua. FINITO!
Especially unapokuwa hujui, na hujui kuwa hujui! Ebu nipe kitu hapa ndugu yangu ili mawazo yangu yapanuke. Kumbuka pia kuwa maji na chumvi havifanani lakini; solute (chumvi) and solvent
 
Ushawishi wake utoke wapi? Alijiuzulu uwaziri mkuu kwa aibu kubwa sana na hadi leo anaendeela na scandal zake huko UK
Mwaka juzi alinunua jengo huko UK akakwepa kodi

You are ignorant of the facts; kuna tofauti kati ta TAX AVOIDANCE NA TAX EVASION!! Tafadhali jielimishe.
 
Kikweteism - huko ulaya kunamahela mengi ili ule lazma uliwe kidogo.

Naamini sana mtoa connection ni JeiKei!!

Wanaume hii nchi tusiposimama kama wanaume ushooo utaruhusiwa sasahivi!! Tusijipendekeze na kukubali kila ujinga,tujifunze kusema NO kwa kiongozi including raid pale tunapokuwa na hoja tofauti
 
Mnaonaje nchii ikauzwa alaf kilammoja akakatiwa chake akatafta kwakwenda
Ingekuwa sawa kama hii nchi ni yetu..., ila hii nchi ni ya vizazi na vizazi kama mababu wangeuza leo usingekuwa na sehemu ya kuishi..., Kwahio Muuzaji na Mnunuzi wote ni Wezi tu (Huwezi kusema Ardhi / Nchi / Dunia) ni mali yako binafsi
 
Mkuu Burundi pia walikuwa Kama Tz, mwanzo walizikataa. Ila mbona hawakumtumia Blair kupata tena hizo chanjo?
Unaitolea mfano Rwanda kwenye nini? Be specific ili twende sawa, wewe ni mtoto wa nursery. Leo nakupa shule bure.Wewe

Wewe huna hadhi ya kunipa mimi shule! Unatufananisha na Burundi? Kweli wewe hamnazo.
 
Mshauri yeyote atakayeteuliwa ataletewa vikwazo na vipingamizi na maadui wake.

Hao South Africa wanajiona wao ndiyo mwisho wa dunia wakati wanayo matatizo yao kibao. Au walitaka kila kitu Tz itegemee kutoka kwao ndiyo watafurahi.
 
mataga pori vipi ukivaa shati la kijani haukatwi tozo??? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mimi ndio niliekuwekea tozo baada ya kuona mabavicha mnatusaport sana na mama yetu kwamba anaupiga mwingi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama achunge uhusiano wake na Blair jamaa sio wa kumuamini sana huwa analo lake alilolificha moyoni.

Hawa Blair Institute sio kama washauri wengine wa Rais. The Blair Institute has been tasked for a specific strategic assignment hivyo siyo permanent engagement people!!!
 
You are ignorant of the facts; kuna tofauti kati ta TAX AVOIDANCE NA TAX EVASION!! Tafadhali jielimishe.
Mimi mchumi kabisa unieleze utofauti wa tax avoidance na tax evasion? Shut up u idiot
 
Mimi ndio niliekuwekea tozo baada ya kuona mabavicha mnatusaport sana na mama yetu kwamba anaupiga mwingi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
masikini mataga pori mmekuwa wapooole kama kuku wa mdondo.

Mlidhani shati la kijani litawapunguza bei ya petrol kila mkienda sheli 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mimi mchumi kabisa unieleze utofauti wa tax avoidance na tax evasion? Shut up u idiot

Umeshindwa hoja sasa you have resorted to insults you. ..........! I am not your caliber.
 
masikini mataga pori mmekuwa wapooole kama kuku wa mdondo.

Mlidhani shati la kijani litawapunguza bei ya petrol kila mkienda sheli [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sisi mataga ndio tulikaa kwenye kikao tukakubaliana kuweka hizo tozo!

Libavicha vipi bhana? Au bado unasusia tozo?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe huna hadhi ya kunipa mimi shule! Unatufananisha na Burundi? Kweli wewe hamnazo.
Nimefananisha tukio, kuwa na akili basi. Wewe una hadhi gani ikiwa 2001 tu ulikuwa bado unalamba kamasi?
Shule nitakupa, tena bure kabisa
 
Blair ana majanga mengi miaka na miaka na hapo ndio concern yao ilipo
Blair alihusika na kutuuzia radar kwa Bei kubwa, hali iliyopelekea bunge la uingereza kuingilia Kati.
Rada iliuzwa na BAE sio blair yule waziri sijui karamagi ndio waliokula dili
 
Nimefananisha tukio, kuwa na akili basi. Wewe una hadhi gani ikiwa 2001 tu ulikuwa bado unalamba kamasi?
Shule nitakupa, tena bure kabisa

Mimi shule nilimpa baba yako kama yuko, wewe utafundishwa na wajukuu zangu!!
 
Back
Top Bottom