SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

Anaonekana anajitambua, ila yule kada Zero itabidi aondolewe tuu na ikibidi afunguliwe mashtaka kwa ugaidi anaowafanyia wananchi
 
Mnamchanganya mama sasa. Mara Suzy, mara huyu. Akitokea mwingine mtasema pia anafaa.
 
Hamna kitu hapo huyo alijikweza sana wakati wa mwendazake sasa mwendazake katangulia mbele za haki anajifanya amegeuka....
 
HIVII HUYU AFANDE bado yupo kwelii?? kama yupo basi nashauri APEWE nafasi ya IGP ataimudu

Huyu bwana ,namfananisha ,na MMOJA aliewai,wambia wanchi,mstari ni MMOJA ,akiwa amekamata ilani ya Ccm,enzi za mwendazake,hapo Sina huakika

By the way bila kujali ,huyu kuwa IGP sioni kitu hicho kiroho,ila tu

Wangepatikana Kama kumi hivi Kama yeye, Police idara ya elim kwa umma,nae akawa kiongonzi pale ,kwa nafasi Iyo anafaa, kwanza anao UWEZO wa kufikisha ujumbe mgum ila Katika mazingira mepesi,

Sema tu ,Hawa kwenye jamii huwa ni wachache achilia kazi anayofanya kuwa ya maelekezo
 
kama yupo afande yoyote mwenye kujitambua kama huyu ajitokeze ili tuone yupi kati yenu atafaa kusimamia usalama wa nchi badala kusimamia usalama wa CCM kama anavofanya ZIRRO
Ila mkuu angalizo tu,

Idara ya police ipo na maafisa wazuri Sana tu na wengi

Ila kwa MFUMO HUU , hata aje IGP alieshushwa na malaika, bila katiba mpya ya kuwapa nguvu, kujua kwamba nafasi yake itadum kwa majibu wa katiba ,na sio utashi wa wa mtu ,twakesha bure ,fine Niko kwenye mfungo wa siku saba ,zitaongezeka mbili, kwa Mambo mengi yaliopo moyoni ikiwa ni pamoja na Nchi yangu
 
Ndugu msidanganyike na maneno yake kwa Sasa huyu afande akishakuwa IGP atabadilika kutokans na maagizo kutoka juu Kama atakuwa hajisimamii. Siro mwenyewe akiwa RPC Mwanza alikuwa Kama huyu Hadi kufikia kumshurutisha mkurugenzi kumtangaza Wenje 2010 ni uthibitisho,lakini mwangalie Leo alivokuwa mtu mwingine kabisa.
 
sema alitema madini haswa... nimeirudia mara 2 mbili hii speech yake
 
Huyu bwana ,namfananisha ,na MMOJA aliewai,wambia wanchi,mstari ni MMOJA ,akiwa amekamata ilani ya Ccm,enzi za mwendazake,hapo Sina huakika

By the way bila kujali ,huyu kuwa IGP sioni kitu hicho kiroho,ila tu

Wangepatikana Kama kumi hivi Kama yeye, Police idara ya elim kwa umma,nae akawa kiongonzi pale ,kwa nafasi Iyo anafaa, kwanza anao UWEZO wa kufikisha ujumbe mgum ila Katika mazingira mepesi,

Sema tu ,Hawa kwenye jamii huwa ni wachache achilia kazi anayofanya kuwa ya maelekezo
Ndo huyo huyo wa mstari mmoja
 
Yupo wapi kwa sasa huyu
Ni bora ambae amewahi kuwa na siku moja nzuri katika maisha yake na taifa hili,kuliko ambaye hajawahi kuwa na siku nzuri kwake na taifa pendwa laTanzania.
 
Hajitambui kwa lolote huyo anatumia utumbo kufokiri labda kama hukuwahi kumsikia wakati wa jiwe alikuwa anatembea na Ilani ya cccm
nimeuliza kama yupo mwengine anaejitambua kama huyo nitajie
 
Amekuteka kirahisi hivyo kumbe. Lakini sishangai, huo ni ushahidi kuwa amefuzu mafunzo. Hawa ni walewale, hana tofauti na Siro, Mahita na wengine ambao umewahi kuwasikia.
Anachodhihirisha hapo ni mojawapo ya maarifa yake na mbinu za kazi anayofanya.
kati ya hao ulosema umeshawahi sikia hata mmoja wao ameongea point kama za huyo mwenzao?
 
Back
Top Bottom