Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajitambui kwa lolote huyo anatumia utumbo kufokiri labda kama hukuwahi kumsikia wakati wa jiwe alikuwa anatembea na Ilani ya cccmkama yupo afande yoyote mwenye kujitambua kama huyu ajitokeze ili tuone yupi kati yenu atafaa kusimamia usalama wa nchi badala kusimamia usalama wa CCM kama anavofanya Sirro
Wanywa pombe wengi wanakuaga na uhuru wa mawazo na maamuzi kuliko ambao hawanywi ambao wengi wanaishi kinafiki.Chapombe huyo hatari
Nadhani bado yupo Makao makuu ya PolisiYupo wapi kwa sasa huyu
Hayo ni maisha yake binafsi, mbona nchi hii iliwahi kuwa na kiongozi malaya?Chapombe huyo hatari
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Aiseee!!Hayo ni maisha yake binafsi, mbona nchi hii iliwahi kuwa na kiongozi malaya?
HIVII HUYU AFANDE bado yupo kwelii?? kama yupo basi nashauri APEWE nafasi ya IGP ataimudu
Ila mkuu angalizo tu,kama yupo afande yoyote mwenye kujitambua kama huyu ajitokeze ili tuone yupi kati yenu atafaa kusimamia usalama wa nchi badala kusimamia usalama wa CCM kama anavofanya ZIRRO
Mangi ni mzee, ila mtoto wa mjini, anaonesha tu ukimwangalia, japo huyu kwenye kazi elim kwa umma anafaa sanaHuyo mangi mbona kama anaonekana mshahara huwa anukabidhi pub!!!
Ndo huyo huyo wa mstari mmojaHuyu bwana ,namfananisha ,na MMOJA aliewai,wambia wanchi,mstari ni MMOJA ,akiwa amekamata ilani ya Ccm,enzi za mwendazake,hapo Sina huakika
By the way bila kujali ,huyu kuwa IGP sioni kitu hicho kiroho,ila tu
Wangepatikana Kama kumi hivi Kama yeye, Police idara ya elim kwa umma,nae akawa kiongonzi pale ,kwa nafasi Iyo anafaa, kwanza anao UWEZO wa kufikisha ujumbe mgum ila Katika mazingira mepesi,
Sema tu ,Hawa kwenye jamii huwa ni wachache achilia kazi anayofanya kuwa ya maelekezo
Ni bora ambae amewahi kuwa na siku moja nzuri katika maisha yake na taifa hili,kuliko ambaye hajawahi kuwa na siku nzuri kwake na taifa pendwa laTanzania.Yupo wapi kwa sasa huyu
nimeuliza kama yupo mwengine anaejitambua kama huyo nitajieHajitambui kwa lolote huyo anatumia utumbo kufokiri labda kama hukuwahi kumsikia wakati wa jiwe alikuwa anatembea na Ilani ya cccm
kati ya hao ulosema umeshawahi sikia hata mmoja wao ameongea point kama za huyo mwenzao?Amekuteka kirahisi hivyo kumbe. Lakini sishangai, huo ni ushahidi kuwa amefuzu mafunzo. Hawa ni walewale, hana tofauti na Siro, Mahita na wengine ambao umewahi kuwasikia.
Anachodhihirisha hapo ni mojawapo ya maarifa yake na mbinu za kazi anayofanya.