SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

Haifai hata kwenye nafasi aliyonayo sasa. Ukisikiliza vizuri utagundua kuwa hana anacho simamia isipokuwa anajiona yeye ndiyo anaelewa na yeye ndiyo mwenye haki. pia ana siasa za ukada. Tunataka polisi mwenye intelegence na uwezo wa uongozi kama alivyokuwa afande Said Mwema na siyo aina hii ya polisi amabao ni makada. wanaendesha shughuli za kipolisi as if tupo chini ya ukoloni.
sifa moja ya kiongozi ni kujiona yuko sahihi,hii inamjenga kuwa na tabia ya kujiamini.

ukishaona ni kiongozi halafu unaongea kwa wasi wasi,tayari kuna shida sehem.
hayo ya kusikiliza ushauri ni baadae uki ofisini na wasaidizi wako.
 
Huyu kiondo ni mtu wa hekima busara na maarifa, siro ng'atuka ukapumzike kuna wenye weledi kuliko wewe kubali hilo
 
sifa moja ya kiongozi ni kujiona yuko sahihi,hii inamjenga kuwa na tabia ya kujiamini.

ukishaona ni kiongozi halafu unaongea kwa wasi wasi,tayari kuna shida sehem.
hayo ya kusikiliza ushauri ni baadae uki ofisini na wasaidizi wako.
Ukimsikiliza vizuri, yeye anataka kuwa mwalimu wa kila kitu (Kisimamia sheria au kuvunja sheria - hivi vyote kwake anachukua kama wajibu wake na hapaswi kuwa chalenged).
Watanzania wanatakiwa wajengewe uwezo kushirikishwa kwenye maswala mbalimbali likiwemo hili la usalama kwani hii nchi ni yao na siyo kazi polisi peke yake. ukienda Somalia kila sehemu kuna askari na bunduki zao lakini hali ya usalama ni mbaya kuliko nchi nyingi duniani.
Kilichopo Tanzania kwa sasa kuna kikundi cha watu wamepora nchi kwa watanzania na kuamua kufanya wanavyotaka ndiyo maana hawaoni shida kuvuja sheria hadharani ili kutimiza malengo yao. Hawa polisi wanadiriki kuingia hadi makanisani katikati ya ibada na kuvuruga misa, hii kitu haikubaliki, wamefikia mahali sasa hivi hawana tofauti na majambazi na pengine hatujawahi kuona majambazi yakiingia katikati ya misa na kufanya uharamia wao.
 
Elimu ni kitu muhimu sana.
Iwe formal au informal--huyu anajua anachokifanya---akikazia "political engagement"---usoni anaonekana ni kitu kinamkera sana!
 
kati ya hao ulosema umeshawahi sikia hata mmoja wao ameongea point kama za huyo mwenzao?
Enzi zao hayakuwepo haya ma whatsapp na ma youtube lakini walisema sana tu. Na huyu angekuwa na madaraka waliyokuwa nayo hao niliowataja katika kipindi hicho angefanya yaleyale waliyofanya. Na mwenyewe amesema kwenye hiyo clip inayosambaa kuwa polisi hawajawahi kuwa na urafiki na hao wanaofanya nao kazi iwe za siasa au vinginevyo, they just happen to be the necessary evil ambayo wengine hawana choice but to learn to co-exist with them. Rudia kuisikiliza hiyo clip utamsikia loud and clear akisema "Mama ni rais si kwa sababu tu mlipiga kura, bali kwa sababu na sisi wengine (polisi) tupo!" Umemwelewa hapo?
 
Humjui huyo wewe. Yaani huyo ni potato kuliko maelezo. Ni wa hovyo sana huyo. Hapo ilitokea tu kama moja ya siku nzuri maishani mwake
Haaahaahaaa!! Eti ilitokea kama moja ya Siku nzuri kwake.
 
Enzi zao hayakuwepo haya ma whatsapp na ma youtube lakini walisema sana tu. Na huyu angekuwa na madaraka waliyokuwa nayo hao niliowataja katika kipindi hicho angefanya yaleyale waliyofanya. Na mwenyewe amesema kwenye hiyo clip inayosambaa kuwa polisi hawajawahi kuwa na urafiki na hao wanaofanya nao kazi iwe za siasa au vinginevyo, they just happen to be the necessary evil ambayo wengine hawana choice but to learn to co-exist with them. Rudia kuisikiliza hiyo clip utamsikia loud and clear akisema "Mama ni rais si kwa sababu tu mlipiga kura, bali kwa sababu na sisi wengine (polisi) tupo!" Umemwelewa hapo?
enzi zipi hizo hayakuwepo? tetea uzwazwa
 
au unamfananisha na huyu zombi
 
Huyu mwamba ni zaidi ya ASKARI POLISI......

Watu aina hii ni "visionary leaders".....

Ni imani yangu viongozi wakuu WANAMJUA VYEMA na hakika ni hazina KUITUMIA......

Kongole kwake Komredi Kiondo👊👍💪👋

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA🙏
 
Engelbert isdori Kiondo msomi WA Seminari ya St James. igp na huyu are all wolves in sheep skin
 
enzi zipi hizo hayakuwepo? tetea uzwazwa
Pole sana. Mahita alikuwa IGP kuanzia 1995-2005. Uliona whatsapp na youtube miaka hiyo, au hata mwenyewe hukuwepo?
Zama zimebadilika na teknolojia imekuwa bora zaidi, tunapata taarifa kwa urahisi zaidi, tena instantly. Hiki anachosifiwa nacho Kiondo kuwa kakisema, kama angesema hikihiki mwaka 1995 wala tusingesikia, au mwenzangu uniambie hii speech ya Kiondo umebahatika kuiona kwenye TV gani nje ya online TV?
Narudia:
  1. Watu kusema mazuri wamesema tangu zamani
  2. Mabaya pia yamefanyika zamani na sasa
  3. Tabia na mahusiano kati ya wanasiasa na vyombo vya dola hapa Tanzania ni zilezile, zamani hata sasa
  4. Wote unaowaona wenye madaraka walionesha tabia tofauti kabla na baada ya madaraka, na trends ni zilezile
 
Engelbert isdori Kiondo msomi WA Seminari ya St James. igp na huyu are all wolves in sheep skin
IGP Siro mwenyewe alisoma hadi Seminari Kuu (Major Seminary) akamaliza philosophy na theology akaachia katika hatua ya ushemasi, ndipo akajiunga UDSM kusoma LLB.
 
Back
Top Bottom