mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Ajengewe sanamu daraja la Kawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafaa kwakweli kama ni kura basi yangu kapata
sifa moja ya kiongozi ni kujiona yuko sahihi,hii inamjenga kuwa na tabia ya kujiamini.Haifai hata kwenye nafasi aliyonayo sasa. Ukisikiliza vizuri utagundua kuwa hana anacho simamia isipokuwa anajiona yeye ndiyo anaelewa na yeye ndiyo mwenye haki. pia ana siasa za ukada. Tunataka polisi mwenye intelegence na uwezo wa uongozi kama alivyokuwa afande Said Mwema na siyo aina hii ya polisi amabao ni makada. wanaendesha shughuli za kipolisi as if tupo chini ya ukoloni.
Ukimsikiliza vizuri, yeye anataka kuwa mwalimu wa kila kitu (Kisimamia sheria au kuvunja sheria - hivi vyote kwake anachukua kama wajibu wake na hapaswi kuwa chalenged).sifa moja ya kiongozi ni kujiona yuko sahihi,hii inamjenga kuwa na tabia ya kujiamini.
ukishaona ni kiongozi halafu unaongea kwa wasi wasi,tayari kuna shida sehem.
hayo ya kusikiliza ushauri ni baadae uki ofisini na wasaidizi wako.
Enzi zao hayakuwepo haya ma whatsapp na ma youtube lakini walisema sana tu. Na huyu angekuwa na madaraka waliyokuwa nayo hao niliowataja katika kipindi hicho angefanya yaleyale waliyofanya. Na mwenyewe amesema kwenye hiyo clip inayosambaa kuwa polisi hawajawahi kuwa na urafiki na hao wanaofanya nao kazi iwe za siasa au vinginevyo, they just happen to be the necessary evil ambayo wengine hawana choice but to learn to co-exist with them. Rudia kuisikiliza hiyo clip utamsikia loud and clear akisema "Mama ni rais si kwa sababu tu mlipiga kura, bali kwa sababu na sisi wengine (polisi) tupo!" Umemwelewa hapo?kati ya hao ulosema umeshawahi sikia hata mmoja wao ameongea point kama za huyo mwenzao?
Bora umtoe usingizini huyu pono!!
Haaahaahaaa!! Eti ilitokea kama moja ya Siku nzuri kwake.Humjui huyo wewe. Yaani huyo ni potato kuliko maelezo. Ni wa hovyo sana huyo. Hapo ilitokea tu kama moja ya siku nzuri maishani mwake
enzi zipi hizo hayakuwepo? tetea uzwazwaEnzi zao hayakuwepo haya ma whatsapp na ma youtube lakini walisema sana tu. Na huyu angekuwa na madaraka waliyokuwa nayo hao niliowataja katika kipindi hicho angefanya yaleyale waliyofanya. Na mwenyewe amesema kwenye hiyo clip inayosambaa kuwa polisi hawajawahi kuwa na urafiki na hao wanaofanya nao kazi iwe za siasa au vinginevyo, they just happen to be the necessary evil ambayo wengine hawana choice but to learn to co-exist with them. Rudia kuisikiliza hiyo clip utamsikia loud and clear akisema "Mama ni rais si kwa sababu tu mlipiga kura, bali kwa sababu na sisi wengine (polisi) tupo!" Umemwelewa hapo?
Hajaiva hata kidogo, ni kigeugeu, haaminiki!Kweli mchambuzi huna makali ya kuchambua.
SACP E.K Ameiva.
au unamfananisha na huyu zombiEnzi zao hayakuwepo haya ma whatsapp na ma youtube lakini walisema sana tu. Na huyu angekuwa na madaraka waliyokuwa nayo hao niliowataja katika kipindi hicho angefanya yaleyale waliyofanya. Na mwenyewe amesema kwenye hiyo clip inayosambaa kuwa polisi hawajawahi kuwa na urafiki na hao wanaofanya nao kazi iwe za siasa au vinginevyo, they just happen to be the necessary evil ambayo wengine hawana choice but to learn to co-exist with them. Rudia kuisikiliza hiyo clip utamsikia loud and clear akisema "Mama ni rais si kwa sababu tu mlipiga kura, bali kwa sababu na sisi wengine (polisi) tupo!" Umemwelewa hapo?
Unaitwa unafiki wa kiwango cha juu
Pole sana. Mahita alikuwa IGP kuanzia 1995-2005. Uliona whatsapp na youtube miaka hiyo, au hata mwenyewe hukuwepo?enzi zipi hizo hayakuwepo? tetea uzwazwa
IGP Siro mwenyewe alisoma hadi Seminari Kuu (Major Seminary) akamaliza philosophy na theology akaachia katika hatua ya ushemasi, ndipo akajiunga UDSM kusoma LLB.Engelbert isdori Kiondo msomi WA Seminari ya St James. igp na huyu are all wolves in sheep skin
Hahah nimecheka sana hii commentYote kwa yote nimshukuru Mungu kwamba kabla sijafa nimefanikiwa kumsikia polisi nwenye akili Tanzania hii akiongea kwa busara na hekima