SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

ni kweli waislamu wengi sisi hatujaenda shule na wenzetu wengi wapo mtaani unafikiri watafanya kazi gani.......popote pale wakikamatwa wezi/majambazi asilimia 90 ni sisi...hata vijiweni ukipita kama ukiita Omari ,Issa ,Muddy, Chollo ,Dullah huwezi kuwakosa
 
Waislamu wanaongoza orodha sijui misikitini wanafundishwa ujambazi? Ndio mkiambiwa ni magaidi muwe mnatulia maana hata list ya madawa ya kulevya waislamu mliongoza
 
Huyu ndiye aina ya Kamanda wa Kanda maalum anavytakiwa kuwa. Siyo eti Mambosasa kazi yake kuwindani na akina Mbowe, Lissu, kunywa chai na Mo aliyepotea na kuonekana na kuua mwanafunzi wa NIT. Ile laana itamfuata Mambosasa hadi kaburini.
 
Kwa hiyo wanakamatwa ndo baadae wanapewa pipe, mi nikadhani wanapewa pipe hukohuko kwenye eneo walipokamatiwa.
Ni Bora ukamatwe na madawa ya kulevya angalau kuliko kukamatwa na silaha kwasabb polisi wao wanajua madhara ya watu kama hao ndiyo maana hatima Yao inakuwa Kifo Tu....
Hao wote hakuna atakayerudi uraiani
 
1. Kaburu Mohamed kaburu,(30),Mkazi wa Buza Kanisani.

2. Iddi Ally Kiduku, Miaka 30, Mkazi wa Tandika.

3. Said Ramadhani @Timu, Miaka 33, Mkazi wa Kitunda.

4. Lucas Danford@Udongo wa Maka, Miaka 31, Mkazi wa Buguruni

5. Shaban Bakari@Majani, Miaka 33, Mkazi wa Tandika kaburi moja.

6. Khamis Bahati Chief, Miaka 38, Mkazi wa Buza kwa mama kibonge


Hii imekaaje Wadau?
1. Issa Karim@ Mdaka Bomu, Miaka 33, Mkazi wa Mbezi
2. Mohamed Juma@Mabangi, Miaka 31, Mkazi wa Mbezi Mwisho
3. Selemani Seif@Dullah Kishandu, Miaka 34, Mkazi wa Mbezi Mwisho.
4. Samsoni Joseph mjeuri, Miaka 32, Mkazi wa Mbezi
5. Ezekiel Kennedy@Simba MC,Mkazi wa Mbezi
 
Haiwezekani kuweka na picha zao kabisa, ili tukikutana nao tujihami?
Mkuu labda watiwe alama usoni vinginevyo utajihami kumbe mwingine ni pacha au mtu wa kufanana naye tu
 
Tunarudi kwenye zile zama za wahalifu kukamatwa na baada ya muda tunapishana nao uraiani,hawa kipindi cha Uncle Magu wangekuwa wameshashonwa risasi zamani.
Naona kama haya matukio hanarudi kwa kasi sana,yani tunarudi kwenye zama za kuvamiana kwenye bars na manyumbani!
Uhuru wetu wa kweli unaanza kuingia mashakani.Inasikitisha mtu unaenda kuchukua jasho lako Bank lkn bado unanyang'anywa na ikiwemo kuondolewa uhai.
So sad😥
 
Back
Top Bottom