mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Wapo tangu enzi za manabii..... Hakuna jipya chini ya juaTatizo hawakomi!majambaz wanazaliwa kila leo
Hii kazi watu wanarithishana mpk kwenye familia....
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo tangu enzi za manabii..... Hakuna jipya chini ya juaTatizo hawakomi!majambaz wanazaliwa kila leo
Hii kazi watu wanarithishana mpk kwenye familia....
Ova
Usinikumbushe kuna sensa ya makazi na watu ilikuwa inaandaliwa hapa nchini, moja ya madodoso likiwemo la dini ya mtu...ipo dini moja waumini wake walipinga liondolewe na likaondolewa, sijuhi waliogopa nini?TZ waislam ni wengi pia
Na jela huko ndiko kwenye mipango wanapeanaWengi wao Jela ni nyumba ya pili na wameshapazoea na mara nyingi wanakata rufaa na kushinda.
Ukivaa kofia na miwani CCTV ni kazi bureIla Tanzania bana. Yan mpaka leo suala la CCTV cameras linaonekana halina msingi. badala ya polisi na mamlaka kusisitiza kila ofisi, eneo la biashara nk lazima liwe na hizi camera wao wanachukulia simpo tu. kazi kufanya jambo (uchunguzi kizamani sana).
Kuna matukio watuhumiwa wanadakwa n kujulishwa umma dk 0 tu. Kutaja majina Omar said sijui mkazi wa kimara hiyo ni kizamani. Mtu kaiba, kavunja kaonekana ktk camera mwekeni hewani kila.mmoja amuone na.amjue ni mwizi, mvunjaji PERIOD
Tena Ombersley usikutane na jambazi mrembo mwanamke!😂😂Wapo tangu enzi za manabii..... Hakuna jipya chini ya jua
Kuonekana wachacheUsinikumbushe kuna sensa ya makazi na watu ilikuwa inaandaliwa hapa nchini, moja ya madodoso likiwemo la dini ya mtu...ipo dini moja waumini wake walipinga liondolewe na likaondolewa, sijuhi waliogopa nini?
Dawa ya wenye bunduki ni kwenda kulazwa Sea cliff tu.Na jela huko ndiko kwenye mipango wanapeana
Kingine wanatumia fedha sana kumaliza kesi zao
Ndomana wazee wanaamua kuwa twanga tu
Ova
1. Issa Karim@ Mdaka Bomu, Miaka 33, Mkazi wa Mbezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo Nick name za wakora zimeniacha hoi
Et Udongo wa maka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waislam kwasasa mna vibe duniani kweli ila wanaoongoza kwa ushoga ni wakristo wengi wanapumuliwa kisogoni
Unaambiwa huyo jamaa anaswali swala 5 kila siku masjidYani kuna muhuni mmoja hapo anajiita UDONGO WA MAKA
...'ama zao ama zangu'...[emoji38][emoji38][emoji38]!Rais Samia please mpe kazi na kangu lugola tukiondoa mengine yule anafaa Sana hasa kwenye ulinzi
Watakuja watu wa hakiza binadamu kukupinga na kukufokeaHaiwezekani kuweka na picha zao kabisa, ili tukikutana nao tujihami?
Nisikie toka kwako1. Kaburu Mohamed kaburu,(30),Mkazi wa Buza Kanisani.
2. Iddi Ally Kiduku, Miaka 30, Mkazi wa Tandika.
3. Said Ramadhani @Timu, Miaka 33, Mkazi wa Kitunda.
4. Lucas Danford@Udongo wa Maka, Miaka 31, Mkazi wa Buguruni
5. Shaban Bakari@Majani, Miaka 33, Mkazi wa Tandika kaburi moja.
6. Khamis Bahati Chief, Miaka 38, Mkazi wa Buza kwa mama kibonge
Hii imekaaje Wadau?