ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Na waliotumbuliwa vyeti feki wengi ni wakristo,hapa pangani watumishi 88 waliotumbuliwa ,wakristo ni 70Waislamu wanaongoza orodha sijui misikitini wanafundishwa ujambazi? Ndio mkiambiwa ni magaidi muwe mnatulia maana hata list ya madawa ya kulevya waislamu mliongoza
Kwa hiyo wanakamatwa ndo baadae wanapewa pipe, mi nikadhani wanapewa pipe hukohuko kwenye eneo walipokamatiwa.Hawa majambazi kazi wanayo! Kwenye hii list watakaobaki hai hawazidi 6
Ukiw mtoto wa mjini ndo uwe mwizi?Dar, pwani wenyeji ni waislam. hao ni watoto wa mjini
Ni Bora ukamatwe na madawa ya kulevya angalau kuliko kukamatwa na silaha kwasabb polisi wao wanajua madhara ya watu kama hao ndiyo maana hatima Yao inakuwa Kifo Tu....Kwa hiyo wanakamatwa ndo baadae wanapewa pipe, mi nikadhani wanapewa pipe hukohuko kwenye eneo walipokamatiwa.
1. Issa Karim@ Mdaka Bomu, Miaka 33, Mkazi wa Mbezi1. Kaburu Mohamed kaburu,(30),Mkazi wa Buza Kanisani.
2. Iddi Ally Kiduku, Miaka 30, Mkazi wa Tandika.
3. Said Ramadhani @Timu, Miaka 33, Mkazi wa Kitunda.
4. Lucas Danford@Udongo wa Maka, Miaka 31, Mkazi wa Buguruni
5. Shaban Bakari@Majani, Miaka 33, Mkazi wa Tandika kaburi moja.
6. Khamis Bahati Chief, Miaka 38, Mkazi wa Buza kwa mama kibonge
Hii imekaaje Wadau?
Hii haikufaa kuitaja hapa ni hatari kwa usalama wa hao SUMA JKTSUMA JKT na kuwapora silaha aina ya Short Gun Pump Action ikiwa na risasi tano.
Mkuu labda watiwe alama usoni vinginevyo utajihami kumbe mwingine ni pacha au mtu wa kufanana naye tuHaiwezekani kuweka na picha zao kabisa, ili tukikutana nao tujihami?
Ni hatari na robo, hujaona nyingine inajiita "mabangi"Kuna nyingine inajiita "Mdaka bomu" aisee
Kwamba watauawa na nani wakati tayari wapo chini ya ulinzi wa polisi?Hawa majambazi kazi wanayo! Kwenye hii list watakaobaki hai hawazidi 6
Shule yenyewe walikimbia, ajira gani ya serikali?Ukosefu wa ajira kwa vijana ni BOMU linalosubiriwa kulipuka. Mungu aepushie mbali tusije kutengeneza Bokoharam wetu!