SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

Kamanda anaweza tenda haki na sheria kwa weledi,mahakama na magereza nazo zitende haki zisituangushe raia wema.
 
Nitumie namba yako mkuu ya Mpesa nikutumie walao 5000 ukanunue pedi najua hasira za kuwa mwezini hizi.
 
Kazi nzuri Kamanda Wambura!
Fita ni fita muraa!
 
Ni majina tu, ila kwa kuangalia juu juu "wenye majina ya kiislam" mi wengi!
Ni kweli ila kumbuka msako huu umefanyika katika eneo lenye waislam wengi (Dar). Matokeo yangekuwa tofauti kama msako huu ungefanyika Mbeya, Mara & the like
 
Majambazi wamekuwa wakifanyiziwa kitamboo tu,hyo haijaanza wakat wa magu
Sema yawezekana wakat wa magu kama kama walitilia mkazo
Ila kama mtu jambaz na anasumbua ,anaonywa aache hasikii mwisho wake ni pyupyuu tu

Ova
 
Duh!

Huyu si mtoto mdogo kabisa
Huyo kazi yake anabinjushwa kuingia nyumba za watu,grill ikitanuliwa hyo anatangulizwa ndy wanavyotumika
Kuna wengine wana miaka mpaka 13,14

Ova
 
Kamanda anaweza tenda haki na sheria kwa weledi,mahakama na magereza nazo zitende haki zisituangushe raia wema.
Majambaz wana mbinu sana
Unakuta jambaz anahukumiwa miaka 30
Jela miezi 3 yuko nje na anaendeleza uhalifu
Jiulize wanatokaje jela,wana michongo ya kila aina wale

Ova
 
Majambaz wana mbinu sana
Unakuta jambaz anahukumiwa miaka 30
Jela miezi 3 yuko nje na anaendeleza uhalifu
Jiulize wanatokaje jela,wana michongo ya kila aina wale

Ova
Wengi wao Jela ni nyumba ya pili na wameshapazoea na mara nyingi wanakata rufaa na kushinda.
 
Wezi mkuu wana connection yani mfano wa keko wanakuwa na kampani na wa kinondoni sasa mfano mwizi wa kinondoni akiaribu kino anakimbilia keko na wizi ndo kazi yao sasa apo wanaungana wakapige mchongo labda mbezi ndo wakishikww kila mtu anasema kweli mahali anapoishi maana bila kutoa address sahihi itawagharimu ata ktk dhamana.
 
Waislamu wanaongoza orodha sijui misikitini wanafundishwa ujambazi? Ndio mkiambiwa ni magaidi muwe mnatulia maana hata list ya madawa ya kulevya waislamu mliongoza

ni kweli ila wanaoongoza kwa ushoga ni wakristo wengi wanapumuliwa kisogoni
 
Mbwembwe za press za nini! si ilikuwa ni swala la kuwapokonya silaha chap tena kimya kimya tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…