SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

Tatizo hawakomi!majambaz wanazaliwa kila leo
Hii kazi watu wanarithishana mpk kwenye familia....

Ova
Wapo tangu enzi za manabii..... Hakuna jipya chini ya jua
 
TZ waislam ni wengi pia
Usinikumbushe kuna sensa ya makazi na watu ilikuwa inaandaliwa hapa nchini, moja ya madodoso likiwemo la dini ya mtu...ipo dini moja waumini wake walipinga liondolewe na likaondolewa, sijuhi waliogopa nini?
 
Ukivaa kofia na miwani CCTV ni kazi bure
 
Usinikumbushe kuna sensa ya makazi na watu ilikuwa inaandaliwa hapa nchini, moja ya madodoso likiwemo la dini ya mtu...ipo dini moja waumini wake walipinga liondolewe na likaondolewa, sijuhi waliogopa nini?
Kuonekana wachache
 
Hao Majambazi waliokamatwa wapigwe shoti wataje mtandao wao wote kisha wapelekekwe MSITU wa PANDE wakale VYUMA!
 
Kwani wengine ni member humu JF?
 
Naendelea kusema hawa majambazi hawawezi dhibitiwa kwa maneno lazima wajibiwe kwa njia wanayoitumia kutenda maovu hayo... ni wazi wambura kakaribishwa vibaya sana na ana kazi kubwa sana....

Ni lazima wakubali hawa watu lazima wajibiwe kwa risasi sio demokrasia na kuwakamata tuu..

Huyu mtu inasemekana amepigwa risasi akiwa dukani kwake na kujeruhiwa vibaya kichwani

Someni hapa chini..

Jeshi la Polisi limesema Mkazi wa Dar es salaam aliejeruhiwa kichwani kwa risasi jana May 24 2021 saa moja na nusu jioni maeneo ya Mabibo External Shungashunga anaendelea na matibabu Hospitali ya Muhimbili.

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Camilius Wambura amesema kijana huyo wa Mabibo na kijana mwingine aitwae Jimmy aliyepigwa risasi Mbezi Beach May 20 na baadae kufariki, wameshambuliwa na Wahalifu na Wahalifu hao ni size ya Jeshi la Polisi kwahiyo wanakwenda kushughulika na kuhakikisha wanawakamata.

"Tunazo doria za miguu na magari kwa kasi, mikakati ipo na mtaona mabadiliko hata mkitoka leo, kesho au kesho kutwa, madhumuni yetu ni kuzuia uhalifu, wale wanaojihusisha na uhalifu waache mara moja kwa sababu kamwe hawawezi kushindana na Jeshi la Polisi na wale wanaomiliki visilaa wavisalimishe mara moja"

Source ; Millard ayo na Magazeti
 
Rais Samia please mpe kazi na kangu lugola tukiondoa mengine yule anafaa Sana hasa kwenye ulinzi
 
Ukute haya yote ni maigizo.
Polisi hawana dogo. Wanapenda sana movie.
Jana tu mtu kala shaba huko ubungo
 
Nisikie toka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…