Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Wamekosa sawa,unaweza ukatuwekea walioshindanishwa nao wakapita mkuu,
Na kumweka The weekend sawa na hao upcoming dah[emoji28]
 
Yaani mwanzo umeanza vizuri mwisho Sasa unakuja kulaumu watu kwa sababu ya Msanii wa Remix [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Diamond kafanya nin kikubwa na huyo Rayvanny ku mkompea na Burnaboy
 
Hivi sisi watanzania tumeshindwa kabisa kuanzisha tuzo zetu kweli jamani? Mbona tunatia aibu sana?
Tena Kuna fursa kubwa sana ya kibiashara kupitia tuzo endapo mtu akaamua kuanzisha. Yule owner anakua na fursa kubwa sana ya kujitangaza kibiashara. Sasa sijui watanzania akili za kubuni tulizitupa kwenye kisima gani.
 
Sisi tuna kazi maalum ya kulaumu hayo mambo ya tuzo wataanzisha wengine[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…