Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Very sadMsanii ebitoke alie kuwa akitumia lafudhi ya kihaya, kuonekana akiwa uchi wa mnyama, bodaboda walipo mtambua ndio kumvisha nguo.
Huko nyuma ebitoke aliwahi kudai rafikiye Lola anataka kumuua, akaandika insta ili asaidiwe. Akiwataja watu majina waote amabalo walitaka kumuua.
Baadae inasemekana mama ashura akafata kwenye orodha ya watu wanataka kumdhuru badae inasemekana inshu ilikua usaliti wa mapenzi yani ebi aliliwa na mume wa rafikye, mama ashura akajitokeza kukana kuwa hakua na MPANGO wa kumroga ebi na taarifa hiyo si ya kweli kama ebi anavo dai kutaka kurogwa na huyo mama ashura
Sasa bhana ebitoke kaonekana akiwa uchi kachizi, inasikitisha sana, dunia dunia dunia eeeh MUNGU tunusuru
Haija julikana kama chanzo ni mume wa mtu MANA hakuna alie Kiri kuhusika na hiki kinacho endeleaMume wa mtu sumu.
OGOPA SANA ukiingia battle na rafiki Yako alafu ahamie kuku dhuruDuh maskini maisha haya
MmhMume wa mtu sumu.
Hiyo picha akiwa kasonora iko wapi sasaMsanii ebitoke alie kuwa akitumia lafudhi ya kihaya, kuonekana akiwa uchi wa mnyama, bodaboda walipo mtambua ndio kumvisha nguo.
Huko nyuma ebitoke aliwahi kudai rafikiye Lola anataka kumuua, akaandika insta ili asaidiwe. Akiwataja watu majina waote amabalo walitaka kumuua.
Baadae inasemekana mama ashura akafata kwenye orodha ya watu wanataka kumdhuru badae inasemekana inshu ilikua usaliti wa mapenzi yani ebi aliliwa na mume wa rafikye, mama ashura akajitokeza kukana kuwa hakua na MPANGO wa kumroga ebi na taarifa hiyo si ya kweli kama ebi anavo dai kutaka kurogwa na huyo mama ashura
Sasa bhana ebitoke kaonekana akiwa uchi kachizi, inasikitisha sana, dunia dunia dunia eeeh MUNGU tunusuru
Yani uchi, ukiona hiyo video utaumia sanaVery sad
Ipo nimejaribu kutaka kui upload hapa naona inakataa, sio picha video kabisaHiyo picha akiwa kasonora iko wapi sasa
Naomba PM please!Ipo nimejaribu kutaka kui upload hapa naona inakataa, sio picha video kabisa
Ugonjwa wa akili ni real...Mume wa mtu sumu.
Inasikitisha kwa kweliYani uchi, ukiona hiyo video utaumia sana
Mkuu si vyema ku upload hapa...Ipo nimejaribu kutaka kui upload hapa naona inakataa, sio picha video kabisa