Kanyoa?Nimeona hiyo Video inahuzunisha...Nashangaa watu wanaifanyia mizaha🤔
Ingia insta hata kwenye kurasa yake ebitoke wameiwekaNaomba PM please!
Inasemekana ye ni mambo ya kuibiana mume ila ye zamani Alisha wahi dai kua walitaka kumuua kisa akitangaza beach ya rafiki yake wa karibu aitwaye Lola akawa anadai malipo yake wakamgeukia kutaka kumuua, badae inasemekana ana matatizo ya akili, yakapita sasa limeibuka tenaInasikitisha sana. Hizi kazi za usanii zina ushetani mwingi.
Kanyoa nini?Kanyoa?
Elewa neno uchi watanzania HATUJA fikia level ya kukaa uchi barabarani mpaka anamulikwa na taa za gari na bajaji akiwa uchi Tako linaonekana titi waziAu anaigiza? Ukisema uchi wa mnyama maana yake yuko naked hajavaa hata chupi uchi unaonekana. Ukute kavaa taiti unasema yuko uchi
Video inayo sambaza haijazibwa kwenye maungo yani nyama nyamaLazima kuna watu wamemrekodi maana akili za watanzania nazifahamu vyema.
Watanzania wana utoto mwingi. Wanarekodi hadi watu waliovunjika katika ajali.Video inayo sambaza haijazibwa kwenye maungo yani nyama nyama
Mpelekeni hospital ya magonjwa ya akiliKama binadamu mwenzetu, tunamsaidiaje?
Typing errorKUKU DHURU ndio mnyama gani?
Niliwaza hivyo lakini Ben pol naye juz katoka kulalamika alichalal kukosa hata EF tatuBen pol amsaidie pisi yake
Mume wa mtu sumu.
Hakuna anayeweza kukiri hata kama yupo.Haija julikana kama chanzo ni mume wa mtu MANA hakuna alie Kiri kuhusika na hiki kinacho endelea
AKIBA HAIOZI!!!Lazima kuna watu wamemrekodi maana akili za watanzania nazifahamu vyema.