Sad newz: Msanii wa vichekesho Ebitoke aonekana uchi wa mnyama, Sinza ,inasemekana kachizi, boda amvisha nguo kumsitiri

Sad newz: Msanii wa vichekesho Ebitoke aonekana uchi wa mnyama, Sinza ,inasemekana kachizi, boda amvisha nguo kumsitiri

1745248.jpg
 
Msanii Ebitoke alie kuwa akitumia lafudhi ya kihaya, kuonekana akiwa uchi wa mnyama, bodaboda walipo mtambua ndio kumvisha nguo.

Huko nyuma ebitoke aliwahi kudai rafikiye Lola anataka kumuua, akaandika insta ili asaidiwe. Akiwataja watu majina waote amabalo walitaka kumuua.

Baadae inasemekana mama ashura akafata kwenye orodha ya watu wanataka kumdhuru badae inasemekana inshu ilikua usaliti wa mapenzi yani ebi aliliwa na mume wa rafikye, mama ashura akajitokeza kukana kuwa hakua na MPANGO wa kumroga ebi na taarifa hiyo si ya kweli kama ebi anavo dai kutaka kurogwa na huyo mama ashura

Sasa bhana Ebitoke kaonekana akiwa uchi kachizi, inasikitisha sana, dunia dunia dunia eeeh MUNGU tunusuru

View attachment 3659166
Mapenzi Mabaya ,Mapenzi Mabaya ,Mapenzi Mabaya.
 
Kuna watu wanadai si yeye, nadhani hawamjui ebitoke, yule wa kwenye video ni yeye mwenyewe sema wanatuliza upepo kutokana na video ilivyo yani matakkkkkkk yanaonekana bahati nzuri ilikua Giza linaingia lakini sura kaonekana, labda waseeme ni ya zamani si kukanusha
Wanasema ni ya zamani alishapona oil
Kuna watu wanadai si yeye, nadhani hawamjui ebitoke, yule wa kwenye video ni yeye mwenyewe sema wanatuliza upepo kutokana na video ilivyo yani matakkkkkkk yanaonekana bahati nzuri ilikua Giza linaingia lakini sura kaonekana, labda waseeme ni ya zamani si kukanusha
Wanasema ya zamani aliwehuka sema ameshapona
 
Back
Top Bottom