ebro jerry
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 354
- 657
Daaaaaah 🥹🥹🥹🥹
hio sio hoja, mshirikina anaweza kukuchizisha hata kwa kuwa eti hujamsalimia tu.
HASIDI HANA SABABU
Mume ni kitu cha kumrogea mwenzio kweli?!!!Mume wa mtu sumu.
Unapomtendea mtu ubaya hutakiwi kuchagua adhabu gani akupatie.Mume ni kitu cha kumrogea mwenzio kweli?!!!
Inasikitisha sana...
Ndio nini?Dalili zote zinaonyesha binti ni schizophrenia ila raia wanadai kalogwa.