MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Inasikitisha sana. Hizi kazi za usanii zina ushetani mwingi.
tUchi ni contradiction au omission
Watu na Imani zenu hamna bayaMume wa mtu sumu.
Ghetto nina 🍼Mume wa mtu sumu.
Nimeona hiyo Video inahuzunisha...Nashangaa watu wanaifanyia mizaha🤔Lazima kuna watu wamemrekodi maana akili za watanzania nazifahamu vyema.
Haki ya faragha iheshimiweHiyo picha akiwa kasonora iko wapi sasa
Hapana kwa heshima msitiriIpo nimejaribu kutaka kui upload hapa naona inakataa, sio picha video kabisa
KUKU DHURU ndio mnyama gani?OGOPA SANA ukiingia battle na rafiki Yako alafu ahamie kuku dhuru
Kawaida ya wabongo. Ngoja wataanza kuuza connection kwa buku buku.Nimeona hiyo Video inahuzunisha...Nashangaa watu wanaifanyia mizaha🤔