Sad newz: Msanii wa vichekesho Ebitoke aonekana uchi wa mnyama, Sinza ,inasemekana kachizi, boda amvisha nguo kumsitiri

Inasikitisha sana. Hizi kazi za usanii zina ushetani mwingi.
Inasemekana ye ni mambo ya kuibiana mume ila ye zamani Alisha wahi dai kua walitaka kumuua kisa akitangaza beach ya rafiki yake wa karibu aitwaye Lola akawa anadai malipo yake wakamgeukia kutaka kumuua, badae inasemekana ana matatizo ya akili, yakapita sasa limeibuka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…