Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

Kuna siku niliwahi kumwambia mtu hivi hawa wachungaji unaskia kazaa nje na kimada flani ah kafumaniwa mahali inakuwaje na sisi tunawaangalia kama viongozi wetu? Na waumini wake wanakubishia yani huwaambii kitu wanakwambia shetani yuko kazini. Siko hapa kuhukumu lakini, wewe unatuhubiria neno la Muumba ila unafanya uchafu hadi sisi tunaujua, na tusioyajua ni mangapi? Waumini wanakwambia, hao pia ni wanadamu, sawa ndo uzini hadi uzae na vimada tena sio mmoja? Watumishi Wengine hadi wanatelekeza ndoa. Huwezi kuniwekea mkono ukanipa upako kwakweli. Integrity huna.
 
😃😃hatari
 
Inanikumbusha filamu ya kinaigeria Kuna muhubiri Fulani alikuwa hivyoo anahama mikoa na mikoa anafilisi watu hadi Kuna siku akauwawa nyumbani kwake kosa ni kuchukua Mali za watu maelfu ya waislamu kosa mafuta ya upako wamebadilisha dini
 
Umemaliza.
Siku ukianza kuwaamini mitume feki jua umejimaliza.
Mtu asiyekemea dhambi wala kufundisha wokovu...huyo ni mtumishi fake.
Lazima mtumishi wa Mungu ahubiri kumpenda Mungu na kuacha dhambi
Wewe mtumisho original umeacha dhambi??
 
Natoa Rai kuw msingatieni Sana mwamposa msimpuuze Kuna kitu ndani yake ambayo wengi hawana

Mm Sina neno nao Kama Ni wa mungu bas sawa Kam si nabii wake ni tapeli ila nijuacho mm anakitu ndani yake
Shuhuda zake azielezeki maelfu humfata je Ni Nani huyu
 
Yaan mimi ningempiga chini huyo mwanamke mpuuzi
 
Ya Kweli haya ama
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha uongo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…