johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pale Mbezi beach tu sadaka ni milioni 30Azania front wanaongoza wakifuatiwa na Arusha kanisa la mjini kati lakini hata wao sadaka kama sadaka hazifiki 15M kwa wiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Mbezi beach tu sadaka ni milioni 30Azania front wanaongoza wakifuatiwa na Arusha kanisa la mjini kati lakini hata wao sadaka kama sadaka hazifiki 15M kwa wiki.
Wewe jamaa inawasharika wangapi na Mapato yao ni yapii?Pale Mbezi beach tu sadaka ni milioni 30
Nchi nzima huwa wanatoa orodha ya makanisa ya KKKT yanayoongoza kwa sadaka kila mwisho wa mwaka mkuu, hivyo usinidanganye, no 1. Azania front 2. Arusha mjini katiKumbe miaka hiyo nenda hapo kesho kutwa lete mrejesho kama mimi mwongo
Muongo wewe Katoro hata KKKT haipoPale Mbezi beach tu sadaka ni milioni 30
Sijabisha mi nimekuambia uliza au nenda hapo sikiliza matangazo ya matoleo ya jumapili iliopita.Nchi nzima huwa wanatoa orodha ya makanisa ya KKKT yanayoongoza kwa sadaka kila mwisho wa mwaka mkuu, hivyo usinidanganye, no 1. Azania front 2. Arusha mjini kati
Mzee unayajua vizuri makanisa ya KKKT. hilo kanisa lisikie mzee usharika wa buza tu unaweza kukuta jpili moja sadaka m 20.Hakuna kanisa tanzania la kuingiza hiyo pesa kwa wiki
Siku hiyo ulikuta wana harambee au ni sadaka za usharika mzima mkuu siyo za mtaaSijabisha mi nimekuambia uliza au nenda hapo sikiliza matangazo ya matoleo ya jumapili iliopita.
Kwa usharika mzima sikatai lakini siyo mtaa mmojaMzee unayajua vizuri makanisa ya KKKT. hilo kanisa lisikie mzee usharika wa buza tu unaweza kukuta jpili moja sadaka m 20.
We nae ubishi kila kitu..si umeambiwa uende jpili ukasikilize mapato ya jpili iliyopita kwenye hayo makanisa yaliyotajwaMuongo wewe Katoro hata KKKT haipo
Sadaka za usharika mzima na wewe na siyo mtaa mmojaWe nae ubishi kila kitu..si umeambiwa uende jpili ukasikilize mapato ya jpili iliyopita kwenye hayo makanisa yaliyotajwa
Mimi nimeshuhudia sadaka zaidi ya m 40 zikitolewa jpili moja na ni Jambo la kawaida sn
Mzee huyajui vzr makanisa ya kkkt,kijitonyama tuu hizo 30m kwa week ni jambo la kawaida kabisaNchi nzima huwa wanatoa orodha ya makanisa ya KKKT yanayoongoza kwa sadaka kila mwisho wa mwaka mkuu, hivyo usinidanganye, no 1. Azania front 2. Arusha mjini kati
The higher the illiterate rate is the higher the money collected by the pastor...........watu wana kusanya pesa katika hao watu masikini. Imagine hicho ni kiasi ganiKwenye nchi ambazo hakuna misukule watu wa hivi wanapigwa mawe tu
The higher the illiterate rate is the higher the money collected by the pastor...........watu wana kusanya pesa katika hao watu masikini. Imagine hicho ni kiasi ganiView attachment 1919016
Japan finds black particles in Moderna vaccineAskofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake.
Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa.
Jumapili ijayo ni lazima atampasha Mbunge mwenzake Elibariki Kingu na kumtishia kifo! hii yote ili asipoteze sadaka.
Mapato ya Bishop Mbunge huyu kwa Jumapili baada ya kuingia bungeni yaliongezeka sana na kumfanya ajitahidi kubalance kote.
Akipoteza ubunge na mapato yake ya Jumapili yatapotea au kupungua sana. Anacheza na siasa na Imani za watu papo. Mjanaja sana Bishop Mbunge huyu.
Wanasiasa wameanza kumshtukia - sasa tuone atakujaje Jumapili.
Wabunge nao kwa unafiki wao wameamua kumwadabisha na Jerry Silaa ili wasionekana na double standard - Jerry Silaa ahapa ametoka hero.
Eti Elibariki Kingu unadai Jerry ataenda kumwomba msamaha Ndugai - msamaha gani sasa wkt wameshadibu? Sisi tunajua JS ndiyo mwakilishi wetu wa kweli!
Elibariki hebu kiri tu umemnafiki Spika Ndugai kwa kujaribu kumwonesha indirectly kuwa JS yupo sahihi.
Haya wawakilishi wetu - endeleeni kula miposho ambayo ni kodi zetu!