Askofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake.
Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa.
Jumapili ijayo ni lazima atampasha Mbunge mwenzake Elibariki Kingu na kumtishia kifo! hii yote ili asipoteze sadaka.
Mapato ya Bishop Mbunge huyu kwa Jumapili baada ya kuingia bungeni yaliongezeka sana na kumfanya ajitahidi kubalance kote.
Akipoteza ubunge na mapato yake ya Jumapili yatapotea au kupungua sana. Anacheza na siasa na Imani za watu papo. Mjanaja sana Bishop Mbunge huyu.
Wanasiasa wameanza kumshtukia - sasa tuone atakujaje Jumapili.
Wabunge nao kwa unafiki wao wameamua kumwadabisha na Jerry Silaa ili wasionekana na double standard - Jerry Silaa ahapa ametoka hero.
Eti Elibariki Kingu unadai Jerry ataenda kumwomba msamaha Ndugai - msamaha gani sasa wkt wameshadibu? Sisi tunajua JS ndiyo mwakilishi wetu wa kweli!
Elibariki hebu kiri tu umemnafiki Spika Ndugai kwa kujaribu kumwonesha indirectly kuwa JS yupo sahihi.
Haya wawakilishi wetu - endeleeni kula miposho ambayo ni kodi zetu!
Japan finds black particles in Moderna vaccine
Japan has put a batch of Moderna's Covid-19 vaccine on hold after a foreign substance was found in a vial.
A pharmacist saw several black particles in one vial of the vaccine in Kanagawa Prefecture, according to authorities.
Some 3,790 people had already received shots from the batch. The rest of the batch has now been put on hold.
It comes less than a week after Japan suspended the use of about 1.63 million Moderna doses due to contamination.
The pharmacist found the black particles while checking for foreign substances before the vaccine's use.
The jab's domestic distributor has collected the vial suspected to be contaminated.
Local media reports say there is no evidence so far of any health hazards caused by the potentially contaminated vaccine.
Takeda Pharmaceutical, which sells and distributes the vaccine in Japan, had just last week put three batches of the vaccine on hold after "foreign materials" were found in some doses of a batch of roughly 560,000 vials.
Spanish pharmaceutical firm Rovi, which bottles the vaccine, said in a statement that a manufacturing line in Spain could be the cause of the issue.
It added that it was conducting an investigation.
On Tuesday, Japan's health minister said foreign matter found in jabs in the southern prefecture of Okinawa were due to needles being incorrectly inserted into vials.
Japan is battling a spike in Covid cases while it hosts the Paralympic Games.
Its vaccination roll-out has been relatively slow, with just over 40% of Japanese people fully vaccinated and around 50% having received one dose.
Source BBC NEWS
“unapoamuka asubuh usikimbilie kuandika uzi pitia kwanza kwenye vyombo vya Habari vya kimataifu ujuwe kinachoendelea nini.
Mara 2 Japan wanagundua vitu kwenye Chanjo.
kama umechoma Chanjo jiandae kisaikologia”