Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

Hizi za Jumapili ni lazima uingie ofisini na uongee non stop na hazina kiinua mgongo.
 
JS hero! Ajabu sana hii!

Nimefuatilia mwenendo wa mahojiano hadi conclusion bungeni, JS ni muongo na mzushi mkubwa!

Hakuna popote pale katika mahojiano JS alitoa hoja akaibuka mshindi.

Mwenendo mzima alikuwa aidha hajui au anadhani!

Alivyobeba rundo la kablasha tulitegemea ana evedence za kutosha na anaenda kuihenyesha kamati kwa hoja, kumbe ni utopolo mtupu!

Mimi naona heri hata ya gwajiboy anasimamia anachokijua na hakuyumba kimsunamo, lakini siyo huyo JS aliyeonesha utoto na uzandiki mwingi katika sakata lote hili.

Wacha kumtetea, mwache aubebe mzigo wake mwenyewe.
 
kaanzishe kanisa lako upokee sadaka na wewe,
 
Yani kutaja CCM kwa mazuri ni dalili ya kuwa MWEHU.
 
Hakuna kanisa tanzania la kuingiza hiyo pesa kwa wiki
Aisee Kuna yule jamaa mhindi hivi mmiliki wa Agape Tv ,huyo kwanza sadaka inapotolewa inapelekwa madhabahuni inawekwa sakafu ,buku kumi kumi na elfu tano madhabahu inajaa nyukundu na blue tu,hata kama mil 40 haifiki ila wachungaji kama Gwajima ,Mwamposa na huyo jamaa wa tv wanapiga hela nyingi. Imagine mchungaji anaendesha tv na radio anapata kiasi gani
 
Milioni 10 mkuu ukiisabaza kwa elfu 10 10 unazipanga kuanzia Mbezi mwisho mpaka Chalinze
 
Kwa Tanzania yetu sina hakika kama kuna Kanisa lolote linaloingiza kiasi hicho cha fedha kwa sadaka kila jumapili! Kama una chuki naye tafuta namna nyingine ya kumsema.
Tusibishane ndugu yangu wee siku ya jmpl jongea pale usikie sadaka au makusanyo ya jmpl iliopita ndio uje kubisha huku.
Kanisa tena kkkt utoaji ni tofauti na msikiti i mtu ametoa saaana ni 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…