Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

Acha uongo wewe nasali KKKT miaka yote karibu makanisa yote makubwa ya KKKT nimesali hakuna kitu kama hicho
Ninkweli mm biinafs nasalai pale kwa dkt mastai watu wanatoa sadaka jmn na pia watu wanabarikiwa snaa pale ...sadaka pale siko Kama kumi nawatu wanaotoa aisee...mungu Yuko jmn
 
Hahahahah kwa hali hii ntafungua kanisa aisee
 
Usiwasagie kunguni watumishi wa bwana sije Waziri wa fedha akaweka Kodi kwenye sadaka.
 
Mnadhani milioni 60 ni hizo pumbu mlizobeba?

Pale hata milioni moja unaweza kuta hafikishi labda mnasema hivyo kuhalalisha utakatishaji fedha.

Mtu anaweza kuwa na njia za panya za kuingiza kipato alafu akasingizia kanisa
 
nawaza kwa sauti... milioni arobaini....
Kila jumapili kuna sadaka za aina si chini ya 4 zinatolewa
sadaka ya shukrani.... mtu hawezi kutoa 5000 ----- hapa ni kuanzia 30,000 kupanda juu
sadaka ya fungu la kumi ------- let say 15,000
sadaka ya jengo ----- 5000 (kima cha chini
sadaka ya ahadi ------ 5000 (kima cha chini
sadaka ya wiki ---- 5000
Mtu mmoja anaweza kutoa 60,000 kwa mara moja (hawa ni wachache)
wa chini kabisa atatoa 10,000 kwa mara moja (hawa ni wengi na siku nyingine hujitahidi kuongeza)

Kweli kanisa linalipa.....
 
Kingu aangushiwe kitu kizito tu hana faida ni wnafiki walewale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…