Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Tatizo la msingi ni kuhimiza watu kutoa sadaka badala ya kuwafundisha kwa nini kutoa sadaka. Laiti watu wangefunzwa ipasavyo isingetumika nguvu kuhamasisha/kushawishi watu watoe sadaka.
Kadhalika kusingekuwa na waamini/waumini wanaokuja kulalama habari za sadaka hadi JF. Hili ni ombwe la mafundishoya dini.
 
Unajua watu hawafanyi utafiti. Ikiitwa daftari la Matajiri hapa Tanzania nadhani Waislamu wataongoza. Hawa wengine wanajiona matajiri sababu ya kujaza pombe kwenye sherehe zao.
Amini tena
 
Usipotoa wanakufukuza kanisani? Au wanakupekua?
 
Acha ubishi wewe tafuta data wewe au ingia wikipedia mbaka ya tz wanakuonesha
Tz sensa ya mwisho yenye kioengele Cha dini ilikua mwaka 1958,waislam walikua 60%+,mwaka 1968(Sina hakika Sana na mwaka) serikali ikafanya sensa,wakadai waislam no 30,wakapeleka in,kule wakawauliza Hawa waislam wamekutwa na janga gani mpaka wamepungua hivi!!?..Hadi leo tz halina kioengele Cha dini,Africa magharibi uislam umeingilia bara tokea Sahel huko,Karne nyingi nyuma,ikawa dini tawala,ukristo ukaja na utumwa baadae ukiingilia pwani,nchi gani ya afrika magharibi yenye wakiristo wengi kuliko waislam!??..labda cameroon
 
mkuu hakuna mtu aliyewahi kufilisika kwa kutoa sadaka, endelea kukunja mikono yako tu
 
Watu wanasema mwarabu eti tajiri kisa mafuta..sawa ila mwambie auze mafuta kwa sarafu tofauti na dolla ya marekani..huo ndio utakua mwisho wa nchi yeyoye ya kiarabu kuwa na maisha mazuri..uliza libya..iran na wengine kilichowakuta ni nini..westerns ni levo nyingine.

All roads lead to rome

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa..namaanisha mwanadamu hata afanyeje lazima tu ataangukia dhambini..iwe kwa kutenda..kuwaza au kunena..manake ngumu sana kuupata utakatifu duniani hapa mana tuna asili ya dhambi tangu kuumbwa kwetu...mind you hakuna dhambi ndogo wala kubwa..aliyesema usiibe ndiye aliyesema usiseme uongo wala kutamani mke wa njirani yako.

Tunapambana kupunguza dhambi kwa kushika na kuzitii amri za Mungu..ila kupitia damu ya Yesu kristo tunahesabiwa haki na kufutiwa makosa.

Kama hujaelewa basi huo utakua ukorofi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu aliye fanya biashara ya utumwa kama mwarabu humu duniani..waarabu ndio walikua madalali wakubwa wa biashara ya utumwa..kwa roho mbaya zao wakawa hadi wana hasi wanaume wa kiafrika wakiwapeleka utumwa huko uarabuni..bora mzugu yeye alikua anawapigisha kazi za kutosha..ila kuzaliana waliruhusiwa.

Mwarabu ni mnyama sio binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sadaka ya mwezi November ili uwe salama. Walah mbinguni ni mbali sana aisee
 
Huko mwishoni umeandika vizuri sana
 
Si kila kanisa ni kanisa,mengine ni mabehewa ya kusafirishia watu kuelekea kuzimu.

Naona kitumbua chako kimemwagiwa mchanga ndio maana unapayuka sana
 
Ni bora mpungue masikin nyinyi mnapenda vya bure ndio maana waislam wengi ni masikini kinoma fanya utafiti coz ukristo unataka watu wafanye kazi yaani wajitume
Mchungaji akitaka gari anachangiwa na waumini ila muumini akitaka gari anafanyiwa maombi.Kweli hii dunia haina usawa
 
Ni masikini kwa sababu anachukua kile ambacho ni haki yake wala hafanyi ujanja ujanja tofauti na upande wa pili chukulia mfano lile hekalu la kakobe unaweza kuta kuna baadhi ya waumini waliochangia ktk ujenzi wa lile hekalu hata kibanda cha matope hawana
 
Jee wamepata mali kihalali? Maana kuna mzee mmoja hapa tegeta anamiliki fremu zaidi ya kumi zote zimepangana na kila fremu anakula zaidi ya laki 4/mwezi ila ukiweka bajaji,bodaboda,meza ya matunda au biashara yoyote ile ya kukupa kipato tena hizo biashara zinapangwa nje ya eneo lake ni reserve ya tanroad anataka alipwe kila mwezi kwa jinsi mtavyokubaliana kwa kuweka biashara ktk reserve ya tanroad ambayo si eneo lake na wala wateja wanaokuja na magari ktk hizo fremu hawajakosa parking ipo ya kutosha jee ni halali kwa mwananchi wa kawaida kula kodi ktk eneo la serikali na huyo mzee ni mkristo na kweli pesa anayo jee hiyo pesa anaipata kwa haki?
 
Ni bora mpungue masikin nyinyi mnapenda vya bure ndio maana waislam wengi ni masikini kinoma fanya utafiti coz ukristo unataka watu wafanye kazi yaani wajitume
Topic ni michango kanisani hapa waislamu wanaingiaje?
Hapa Tz katika top ten matajiri baada ya kufa Mengi Kuna mgalatia gani?
Acha chuki za kipumbavu ,we endelea kununua chumvi, maji,udongo,keki,kalamu,leso vya upako na "ubarikiwe sana" ---sema aimeen
 
Aliyeanzisha biashara ya utumwa mreno,huko Congo brazaville ya leo,miaka ya 1400,aliwapeleka kulima miwa amerika,kipindi hicho sukari ni Kama mafuta leo,ilizua Vita miongoni mwa wazungu,meli za watumwa kuelekea Portsmouth uingereza zilijaa unyama kwa watumwa,Portsmouth harufu ya mizoga ya binaadam ilisikika meli ikiwa zaidi ya 40m baharini,hapo mzungu Wala hauziwi watumwa na mwarabu,ukitaka kujua Nani alikua mfanya biashara ya utumwa we angalia ilkwishaje,walipogundua viwanda wazungu na biashara ikaisha,acha kukariri ujinga ulioimbishwa shule ukilenga kupiga Vita utamaduni wa mwarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…