Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Habari za wakati huu Wana jamvi, mama yetu yupo Egypt kwa majukumu yake ya kikazi,niende moja kwa moja kwenye mada.

Ibada ni kitu muhimu Sana hasa kwa welfare ya kiroho, kwa sababu Vita ya kiroho ni Kuna Sana Bora hata mtu akukimbize na panga unaweza ukajitetea kwa kukimbia au kupambana nae na ukashinda ila sio huko upande wa pili (spiritually)
Dini sahihi na ya kweli ni Waislamu tu hawana makuu kbs.. haya mengine na hizi kanisa za mabati ndio balaaa. Mshika pesa ni mke wa mchungaji. Kuna siku niliwafuma wazee wa kanisa wakigawana mpunga Mwambao restaurant Dom.
 
Lazima mtoe povu kama mnaviela vyenu vya mawazo, kingine mnasali makanisa gani nyie, mfano luther sadaka sio lazima na fungu la kumi ukipeleka hata 5000 kutoa tena inaweza kupita hata miiezi, katika ukristo kuna fundisha watu kufanya kazi na kutafuta pesa ndio maana ukiona michango ujue unaamshwa upambane ndio maana matajiri wengi ni wakristo duniani hao wengine ni mmoja moja fanya utafiti uone waislam wengi ni masikini kinomaa coz din yao kila kitu ni simple sasa hapo inafundisha utafutaji kuwa chini mfano angalia nchi za kiislam africa ni masikin zakutupa, angalia sasa za wakristo wengi mfano south africa au nigeria pande za lagos matajiri kibao nenda kule kaskazin kwa waislam masikin kibao so kama vp hamieni huko kwenye usimple mnakotaka
 
Nimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.

Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima🤩
Wanadai wale wazungu walio kuwa wakisari n kufadhiri mambo mengi kwenye
dini hawasali tena wamebaki vikongwe wanaohesabu siku za kuish ndio maana wanataka mjitegemee kwa michango
 
Nimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.

Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima[emoji2956]
Kweli aiseee hadi huruma mi nilihudhuria cku kadhaa nikaacha kwenda kwenye jumuia mambo ni mengi
 
Na kingine ukiona mtu anahojihoji kama wewe ndugu muandishi ujue maisha yamembana coz visadaka vyenyewe sio vyakuongelea jamani yaani buku povu, shukuruni ukristo unafanya mtafute pesa sio kila kitu bure kama upande wa pili masikini wanakuwa wengi
Wanaotoa sadaka sana ni maskini ili wafanikiwe wanamchangia mchungujaji mwenye gari akiwaahidi baraka.
 
Kweli aiseee hadi huruma mi nilihudhuria cku kadhaa nikaacha kwenda kwenye jumuia mambo ni mengi
Wa catholic wengi wanayakimbia makanisa sio tu michango ila hadi inavyotumika.
Viongozi wa parokia na jumuiya ni kupigana vikumbo kuwania uongozi japo kila siku wanalia watu hawatoi michango
Kuna kanisa la kawe kamo huwa linachangiwa kila siku toka enzi za mhashamu askofu mayala 2007 hadi leo
halijaisha huwezi batizwa kama hujachangia.
 
Dini sahihi na ya kweli ni Waislamu tu hawana makuu kbs.. haya mengine na hizi kanisa za mabati ndio balaaa. Mshika pesa ni mke wa mchungaji. Kuna siku niliwafuma wazee wa kanisa wakigawana mpunga Mwambao restaurant Dom.
Ukristo kufeli haujustify uislamu.
Bora hao wanaoiba sadaka kuliko hao wanaoiba roho za watu kwa kisingizio cha jihadi
na kumpigania allah ambaye anaweza yote ila hawezi kujipigania
 
Lazima mtoe povu kama mnaviela vyenu vya mawazo, kingine mnasali makanisa gani nyie, mfano luther sadaka sio lazima na fungu la kumi ukipeleka hata 5000 kutoa tena inaweza kupita hata miiezi, katika ukristo kuna fundisha watu kufanya kazi na kutafuta pesa ndio maana ukiona michango ujue unaamshwa upambane ndio maana matajiri wengi ni wakristo duniani hao wengine ni mmoja moja fanya utafiti uone waislam wengi ni masikini kinomaa coz din yao kila kitu ni simple sasa hapo inafundisha utafutaji kuwa chini mfano angalia nchi za kiislam africa ni masikin zakutupa, angalia sasa za wakristo wengi mfano south africa au nigeria pande za lagos matajiri kibao nenda kule kaskazin kwa waislam masikin kibao so kama vp hamieni huko kwenye usimple mnakotaka
Umekurupuka Nigeria hawaongozi wakristo ni kama wako sawa story zako za kijiwen wapelekee matahira wenzio nishahudhuria jumuia wanaosali kuna maskin na wanakamuliwa sadaka hadi huruma sadaka gn za kuanza kushindanisha eti jumuia hii imetoa sadaka nyingi
 
Wingi wa sadaka sio issue

Issue ni je unamjua unayemuabudu ?

Kama unaenda church as part of socialization ...lazima utaboreka sana na kifupi utaratibu wa kileo wa sadaka 5 utakubore na utaacha kwenda kanisani.

Ushauri wangu Jenga mahusiano Kwanza na YESU then atakufundisha jinsi ya kumtu mikia kwa njia ya mapato yako.

Mimi siku hizi naomba mungu anijalie kujaa RM ili niweze kuyapambanua mafumbo ya maisha. Otherwise tutafika mbinguni tukiwa tumechoka Sana .
 
Ukristo kufeli haujustify uislamu.
Bora hao wanaoiba sadaka kuliko hao wanaoiba roho za watu kwa kisingizio cha jihadi
na kmpigania allah ambaye anaweza yote ila hawezi kujipigania
Ilibaki chupuchupu niingie RC kanisani nishaingia na jumuia nishaenda tena mwaka huu huu lkn nilivyoona mienendo yao ya utoaji wa sadaka kama wa kudhalilishana hivi unakuta mtu maisha yake nyumbani ni magumu lkn atajibana apeleke tu sadaka hilo c sawa
 
Lazima mtoe povu kama mnaviela vyenu vya mawazo, kingine mnasali makanisa gani nyie, mfano luther sadaka sio lazima na fungu la kumi ukipeleka hata 5000 kutoa tena inaweza kupita hata miiezi, katika ukristo kuna fundisha watu kufanya kazi na kutafuta pesa ndio maana ukiona michango ujue unaamshwa upambane ndio maana matajiri wengi ni wakristo duniani hao wengine ni mmoja moja fanya utafiti uone waislam wengi ni masikini kinomaa coz din yao kila kitu ni simple sasa hapo inafundisha utafutaji kuwa chini mfano angalia nchi za kiislam africa ni masikin zakutupa, angalia sasa za wakristo wengi mfano south africa au nigeria pande za lagos matajiri kibao nenda kule kaskazin kwa waislam masikin kibao so kama vp hamieni huko kwenye usimple mnakotaka
Samahani baba mchungaji kama sio mwenyekiti wa jumuiya/parokia Kwaiyo qatar na nchi za kiarabu zinazidiwa na ninyi?
Ukiristo ni kichaka cha kutaftia heshima ya kuzikwa hamna ziada kwa hao matajiri.
kwa maskini ni sehem ya kutoa sadaka iwezekanavyo ili ubarikiwe urudishiwe maradufu
na ukishindwa kurudishiwa duniani tunakuambia utarudishiwa mbinguni.
Kuna watu wanapesa kuzid hata huyo elon musk wako huko uarabuni wametulizana tu.
 
Lazima mtoe povu kama mnaviela vyenu vya mawazo, kingine mnasali makanisa gani nyie, mfano luther sadaka sio lazima na fungu la kumi ukipeleka hata 5000 kutoa tena inaweza kupita hata miiezi, katika ukristo kuna fundisha watu kufanya kazi na kutafuta pesa ndio maana ukiona michango ujue unaamshwa upambane ndio maana matajiri wengi ni wakristo duniani hao wengine ni mmoja moja fanya utafiti uone waislam wengi ni masikini kinomaa coz din yao kila kitu ni simple sasa hapo inafundisha utafutaji kuwa chini mfano angalia nchi za kiislam africa ni masikin zakutupa, angalia sasa za wakristo wengi mfano south africa au nigeria pande za lagos matajiri kibao nenda kule kaskazin kwa waislam masikin kibao so kama vp hamieni huko kwenye usimple mnakotaka
Wale Morocco ni maskini misri ni maskini sudan kwa sababu ya vita vyao libya nao kwa sababu ya vita vyao Algeria hao ni maskini hv we kweli umemaliza hata darasa la saba kweli
 
Ilibaki chupuchupu niingie RC kanisani nishaingia na jumuia nishaenda tena mwaka huu huu lkn nilivyoona mienendo yao ya utoaji wa sadaka kama wa kudhalilishana hivi unakuta mtu maisha yake nyumbani ni magumu lkn atajibana apeleke tu sadaka hilo c sawa
Hao wacatholic michango huwa kama wanadai huwa wanacounter lao kila jumuiya madeni hata ya miaka kumi
kama familia yako haijatoa na yanasomwa kila wiki kwenye jumuiya.

unless kama kwenye jumuiya yenu awepo kigogo ambaye kila mchango atatoa watu wengine wanaongezea tu hapo ndio afadhal.
Na kwenye kutafuna hiyo michango wako vizuri wamewarithisha hadi watoto wao viwawa ukiwa na shida pia hawajari.
Ndg zang wengi wamekimbilia kkkt sijui huko nako kunaunafuu.
 
Nimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.

Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima🤩
Kuna mch mmj yuko morogoro(jina kapuni)
Anawapiga sana waumini,yeye mwenyewe
Msanii
Kuna dili moja ilinipitia yeye alikuwa kama
Dalali mtu kati, nlimpiga na yeye dah Ali mind
Hizo sms zake vitisho,mikwala Hahaha
Mshnz tu

Ova
 
Ni bora mpungue masikin nyinyi mnapenda vya bure ndio maana waislam wengi ni masikini kinoma fanya utafiti coz ukristo unataka watu wafanye kazi yaani wajitume
Toka ukristo uje Afrika ...muafrika kazidi kua mpumbavu tu.....wakristo wana utajiri gani hapa afrika zaidi tu ya kupata nafasi za upendeleo kupata elimu na kua mafisadi tu serikalini ndo maana hadi leo wafanyabiashara wakubwa na matajiri zaidi Afrika wamebaki kua waislamu tu wakristo walibebwa tu na mifumo ya kikoloni iliyowapendelea kielimu na ajira humo serikalini na hakuna walichokifanya zaidi ya kua mafisadi tu huo mfumo mliokua mnautegemea kwa sasa unakufa ajira zinakata mnazagaa mitaani tu hata ujasiliamali unawashinda kisa mlizoea kukariri madesa na kupenyezwa kwenye ajira ......na usilolifahamu Mansa Musa alikua ni tajiri kwa dunia nzima ,hadi sasa ambao wanaweza kufikia utajiri wake hata kwa hao mabwana zenu wazungu hakuna na alikua muislam, toka kipindi hiko hadi sasa hakuna cha tajiri wa afrika mkristo alieweza kukimbiza,,.... hata kwenye nchi yetu tunajionea mabilionea kule juu ni wa dini gani nyie wakristo mkitoa hizi ajira za kukariri madesa hakuna kitu weupe kabisa
 
Kuna mch mmj yuko morogoro(jina kapuni)
Anawapiga sana waumini,yeye mwenyewe
Msanii
Kuna dili moja ilinipitia yeye alikuwa kama
Dalali mtu kati, nlimpiga na yeye dah Ali mind
Hizo sms zake vitisho,mikwala Hahaha
Mshnz tu

Ova
Hahahahah mchungaji ntu ya Dili halafu ukamzima😅 we jamaa unatfta laana 😂
 
Back
Top Bottom