Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Hakuna laana wahuni tu hao wachungaji,,sadaka zetu wanaenda kugegedea.Hahahahah mchungaji ntu ya Dili halafu ukamzima[emoji28] we jamaa unatfta laana [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna laana wahuni tu hao wachungaji,,sadaka zetu wanaenda kugegedea.Hahahahah mchungaji ntu ya Dili halafu ukamzima[emoji28] we jamaa unatfta laana [emoji23]
Mfia dini katika ubora wako..Toka ukristo uje Afrika ...muafrika kazidi kua mpumbavu tu.....wakristo wana utajiri gani hapa afrika zaidi tu ya kupata nafasi za upendeleo kupata elimu na kua mafisadi tu serikalini ndo maana hadi leo wafanyabiashara wakubwa na matajiri zaidi Afrika wamebaki kua waislamu tu wakristo walibebwa tu na mifumo ya kikoloni iliyowapendelea kielimu na ajira humo serikalini na hakuna walichokifanya zaidi ya kua mafisadi tu huo mfumo mliokua mnautegemea kwa sasa unakufa ajira zinakata mnazagaa mitaani tu hata ujasiliamali unawashinda kisa mlizoea kukariri madesa na kupenyezwa kwenye ajira ......na usilolifahamu Mansa Musa alikua ni tajiri kwa dunia nzima ,hadi sasa ambao wanaweza kufikia utajiri wake hata kwa hao mabwana zenu wazungu hakuna na alikua muislam, toka kipindi hiko hadi sasa hakuna cha tajiri wa afrika mkristo alieweza kukimbiza,,.... hata kwenye nchi yetu tunajionea mabilionea kule juu ni wa dini gani nyie wakristo mkitoa hizi ajira za kukariri madesa hakuna kitu weupe kabisa
Ukristo hauNa shida, shida ni sisi tumekua wajinga,Toka ukristo uje Afrika ...muafrika kazidi kua mpumbavu tu.....wakristo wana utajiri gani hapa afrika zaidi tu ya kupata nafasi za upendeleo kupata elimu na kua mafisadi tu serikalini ndo maana hadi leo wafanyabiashara wakubwa na matajiri zaidi Afrika wamebaki kua waislamu tu wakristo walibebwa tu na mifumo ya kikoloni iliyowapendelea kielimu na ajira humo serikalini na hakuna walichokifanya zaidi ya kua mafisadi tu huo mfumo mliokua mnautegemea kwa sasa unakufa ajira zinakata mnazagaa mitaani tu hata ujasiliamali unawashinda kisa mlizoea kukariri madesa na kupenyezwa kwenye ajira ......na usilolifahamu Mansa Musa alikua ni tajiri kwa dunia nzima ,hadi sasa ambao wanaweza kufikia utajiri wake hata kwa hao mabwana zenu wazungu hakuna na alikua muislam, toka kipindi hiko hadi sasa hakuna cha tajiri wa afrika mkristo alieweza kukimbiza,,.... hata kwenye nchi yetu tunajionea mabilionea kule juu ni wa dini gani nyie wakristo mkitoa hizi ajira za kukariri madesa hakuna kitu weupe kabisa
Ulichoongea ni vice versa kabisa, uislam unaamini mtu aende kuswali amuombe Mungu then akafanye kazi na Mungu aibariki hiyo kazi, lakini ukristo mwingi unataka watu waamini watafanikiwa kwa miujiza ya pastor na unakuta mtu Hana hata kazi anakuambia pokea gari, Sasa unapataje gari na hauna kazi.Ni bora mpungue masikin nyinyi mnapenda vya bure ndio maana waislam wengi ni masikini kinoma fanya utafiti coz ukristo unataka watu wafanye kazi yaani wajitume
Umemaliza [emoji119]Ukristo hauNa shida, shida ni sisi tumekua wajinga,
Hatuwezi kabisa kuchanganua Mambo.
Ukitenga Muda wako kosoma biblia, kuna vingi utajua kuliko kusubiri mahubir ya Mchungaji.
Ukristo hauna shida, wenye shida ni sisi wanadamu.Navyozidi kutumia logic.. naona mapungufu mengi sana makanisani na mazuri mengi sana dini ya wenzetu waislamu..
Sadaka kwenye ukrito imekaa kipigaji pigaji sana hasa fungu la kumi na sadaka zingine kibao. Angalau waislam sadaka inasisitizwa itolewe kama zaka kwa maskini, wajane, wagonjwa, na makundi mengine yenye shida ,,katika nguzo zao za uislam.
Nimeshauguza sana mama yangu muhimbili na moi.. kila mara akilazwa nikienda asubuhi kumuona naona makundi ya waislam wanatembelea wagonjwa waliolazwa na kuwapa uji na vyakula asubuhi .. sio ndugu zao bali ni utaratibu wa dini yao wanasaidia wagonjwa ambao hawana wa kuwapa vyakula.. mimi ni mkristo sijawai kuona kundi la wakristo likifanya hivyo hata siku 1 katika siku zote nilizokuwa naenda moi na muhimbili kumuona mama.
Makanisani mahubiri yanasisitiza sadaka tu na hizo sadaka hazijulikani zinaenda wapi? Maana hata shule za kanisa zilizojengwa kwa sadaka zetu bila kulipa ada mwanao anafukuzwa
Hivi fungu la kumi waliagizwa waislaeli au tuliagizwa wote?Ukristo hauNa shida, shida ni sisi tumekua wajinga,
Hatuwezi kabisa kuchanganua Mambo.
Ukitenga Muda wako kosoma biblia, kuna vingi utajua kuliko kusubiri mahubir ya Mchungaji.
Ukiristo unashida hao wanaoomba hizo sadaka wanatumia quran?Ukristo hauNa shida, shida ni sisi tumekua wajinga,
Hatuwezi kabisa kuchanganua Mambo.
Ukitenga Muda wako kosoma biblia, kuna vingi utajua kuliko kusubiri mahubir ya Mchungaji.
Biblia inaweza kutumika kukushauri Kuwa mlevi, na baya lolote lile.Ukiristo unashida hao wanaoomba hizo sadaka wanatumia quran?
Dini zote maandiko yanawa taka waumini wake wasikilize maelekezo ya viongozi wao
hakuna mtu atakuambia utoe sadaka bila nukuu ya bible.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 afu hata mi nilijua upigaji upo kwa akina nabii frola kumbe hadi ukoNimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.
Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima🤩
Nakwambia hivi, Ukitoa sadaka yako kwa mtumishi wa uwongo, ni sawa na kutupa pesa yako kwenye shimo la choo.Toa sadaka bhna sadak Ni sadaka kweli unavyotoa nenea wew toa Kam sadak usitoe ilimradi ..Tena kwa moyo huo mkunjufu ndio sadak inakuwa nzur sana
Gwajima fundi wewe.. huwa anaongea ma fact sana 😁Nimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.
Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima🤩
Yani kusali Hadi uwe na 20,000Nimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.
Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima[emoji2956]
Mimi nilishaacha kwenda kanisani. Nimeenda RC sadaka kama tuko kwenye Vikoba tena bora vikoba mwisho wa mwaka unapata chako wakati huko mwisho wa mwaka unatoa tena zaka. Jumuiya ndiyo usiseme, kusali ni five mnts tu then michango inaanza. Nakajaribu KKKT, huko ndiyo usiseme, eti kuna mpaka lunch na bwana Yesu. Nikajua tunapiga msosi na Bwana Yesu kumbe hakuna kitu. Niishie hapa nisiharibu imani za watu.Nimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.
Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima[emoji2956]
Mashahidi wa Yehova ni wakristo je wanatoa sadaka?Ukiristo unashida hao wanaoomba hizo sadaka wanatumia quran?
Dini zote maandiko yanawa taka waumini wake wasikilize maelekezo ya viongozi wao
hakuna mtu atakuambia utoe sadaka bila nukuu ya bible.