lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
HahhahaahMimi nilishaacha kwenda kanisani. Nimeenda RC sadaka kama tuko kwenye Vikoba tena bora vikoba mwisho wa mwaka unapata chako wakati huko mwisho wa mwaka unatoa tena zaka. Jumuiya ndiyo usiseme, kusali ni five mnts tu then michango inaanza. Nakajaribu KKKT, huko ndiyo usiseme, eti kuna mpaka lunch na bwana Yesu. Nikajua tunapiga msosi na Bwana Yesu kumbe hakuna kitu. Niishie hapa nisiharibu imani za watu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app