Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Hata waislam wako kama wewe wanawapenda waislam wenzao kuliko mkristo anavyo mpenda mkristo mwenzake
kwao muislam ni ndug yake.
Usilete porojo za kwamba wanawasaidia wote wananufaika kule dini imewaweka pamoja ukizingua wanakutoa
huwezi kuwa puppet wazi wazi wa wazungu ninyi mmekubali kuwapa bure wapeni wao walikataa mda mrefu wala sio fadhila za mzungu.
Na kuhusu hayo huo ukristo umeua wengi kuliko waislamu sio tu agano la kale hata baada ya kristo roma wameua
zaidi ya watu mil 50 huo upendo ulikuwa wap?
Ukristo wa agano la kale na uislamu wa leo unatofauti gani, upi bora?
Ndio maana kuna watu walipinga kama Mungu wa agano la kale na wa agano jipya ni mmoja kati
ya wa catholic wa mwanzo kabla ya wa catholic kuungana na roma empire kuua wapinzani wao wa ndani na nje ya ucatholic.
Unakuja na mihasira asubuhi
 
[emoji91][emoji16][emoji28][emoji23] Sema yote mkuu.

Wenzio Kanisa tumeamishia Nyumbani. Kristo tupo nae.
Bora hivyo mkuu, mimi kwa kweli la lunch na Bwana Yesu liliniacha hoi(KKKT hawa) RC lile la kusema sadaka irudiwe mpaka laki saba zipatikane na hapo mnaamka benchi kwa bench, na kumbuka huo /hiyo ni sadaka ya mwisho na zimeshapita kama tatu nyuma.
 
Hizi sadaka zinachanganya sana, misaa masaa 3, lkn masaa 2 zinazungumziwa hela tuu. Ukitaka mchungaji akuguse, toa sadaka. ya kueleweka, ili uende mbele akuombee kwa kukugusa Wasio na hela hawana nafasi. Wachungaji wa Nigeria wamejitajirisha mpaka wanatembelea private jets.
 
Ila hizi imani hizi, eti wale mitume na manabii wote hakuna Mwafrika hata mmoja, then unakuta mwafrika yuko bize anaimba "Ningekuwa na mabawa ningepaa niende nyumbani kwa bwana nikamwone Ayubu, Ibrahim na the rest.."
Wakati Gwajiboy yuko hapa ila hataki kwenda kumwona (Joke).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli sadaka zimekuwa nyingi sana..makanisa Yesu anawaona na siku ya hukumu mutajibu
Sadaka ya ukombozi
Sadaka ya fungu la kumi
Sadaka ya ujenzi
Sadaka ya nabii
Sadaka ya upebdo
Sadaka ya shukuranj
Sadaka ya kumtegemeza mchungaji
 
Toka ukristo uje Afrika ...muafrika kazidi kua mpumbavu tu.....wakristo wana utajiri gani hapa afrika zaidi tu ya kupata nafasi za upendeleo kupata elimu na kua mafisadi tu serikalini ndo maana hadi leo wafanyabiashara wakubwa na matajiri zaidi Afrika wamebaki kua waislamu tu wakristo walibebwa tu na mifumo ya kikoloni iliyowapendelea kielimu na ajira humo serikalini na hakuna walichokifanya zaidi ya kua mafisadi tu huo mfumo mliokua mnautegemea kwa sasa unakufa ajira zinakata mnazagaa mitaani tu hata ujasiliamali unawashinda kisa mlizoea kukariri madesa na kupenyezwa kwenye ajira ......na usilolifahamu Mansa Musa alikua ni tajiri kwa dunia nzima ,hadi sasa ambao wanaweza kufikia utajiri wake hata kwa hao mabwana zenu wazungu hakuna na alikua muislam, toka kipindi hiko hadi sasa hakuna cha tajiri wa afrika mkristo alieweza kukimbiza,,.... hata kwenye nchi yetu tunajionea mabilionea kule juu ni wa dini gani nyie wakristo mkitoa hizi ajira za kukariri madesa hakuna kitu weupe kabisa
Unaposema Wakristu ni weupe kichwani, unamaanisha Waislamu wako vizuri kichwani?
Huu utani sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimebahatika kupita Roma a few weeks ago kucheki utaratibu ila dah nilichokutana nacho ni balaa!
1.Kapu la kwanza general sadaka ya misaa
2.Kapu la pili mtolee mungu kwa kibahasha cha kaki
3.Kapu la 3 kumuunga mkono baba paroko
4.Mchango wa ujenzi wa kanisa hapa ilikuwa inatakiwa laki 6 asubuhi sana na mapema. Mwenye elfu 10 yeyote alitakiwa anyooshe kidole na kufuatwa alipo.

Kwa hali hio sikuitarajia ndani ya kanisa takatifu kama Roma! Kumbe wahuni tu kama akina Gwajima🤩
Hakuna kanisa takatifu, makanisa yote ni utapeli kama kawaida. Kumbuka zamani roma walikua wanatoza hela kuondoa dhambi, imagine 😂.
 
Sa
Habari za wakati huu Wana jamvi, mama yetu yupo Egypt kwa majukumu yake ya kikazi,niende moja kwa moja kwenye mada.

Ibada ni kitu muhimu Sana hasa kwa welfare ya kiroho, kwa sababu Vita ya kiroho ni Kubwa Sana Bora hata mtu akukimbize na panga unaweza ukajitetea kwa kukimbia au kupambana nae na ukashinda ila sio huko upande wa pili (spiritually)

Na laiti tungekua na uwezo wa kuona Vita iliyopo kiroho sidhani Kama tungetazamana mara mbili unakuta huyo huyo anaekupeleka hospitali ndie aliekuroga, ndugu zako wanakupiga juju ili usitoboe yaani Mambo ni mengi na ya hovyo tu.

Lakini ibada za siku hizi kwenye haya madhehebu yetu ni mara Mia ukakaa nyumbani ukasoma biblia na ukaenda kusaidia masikini moja kwa moja na ukabarikiwa.
Sadaka zimekua nyingi Sana mtu unakutana na zaidi ya vikapu vitano,baraka zitatoka wapi hapo? Mtu unaanza kugawa sadaka SI ndo yale yale ya kaini na habili?

Nawasilisha.
Sadaka inahusiana na Imani yako mbele za Mungu, sadaka ni Ibada. Unapojandaa kwenda kanisan ombea kabisa sadaka mbele za MUNGU kisha jongea nyumba ya Ibada. Hata ukute vikapu mia toa ile ulijiandaa nayo
 
Back
Top Bottom