Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahahah kwamba ukilipa unaondolewa dhambi? 😂Hakuna kanisa takatifu, makanisa yote ni utapeli kama kawaida. Kumbuka zamani roma walikua wanatoza hela kuondoa dhambi, imagine 😂.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahah kwamba ukilipa unaondolewa dhambi? 😂Hakuna kanisa takatifu, makanisa yote ni utapeli kama kawaida. Kumbuka zamani roma walikua wanatoza hela kuondoa dhambi, imagine 😂.
Hahahahhaha kanisani imegeuka sehem ya kuosheanaTrue hata Mimi bila pesa siendi kanisani,maana utabaki na aibu kubakia pekee yako kwenye bench wote wakiinuka kwenda mbele kutoa
Zote hizo unatakiwa uzitoe siku 1Ni kweli sadaka zimekuwa nyingi sana..makanisa Yesu anawaona na siku ya hukumu mutajibu
Sadaka ya ukombozi
Sadaka ya fungu la kumi
Sadaka ya ujenzi
Sadaka ya nabii
Sadaka ya upebdo
Sadaka ya shukuranj
Sadaka ya kumtegemeza mchungaji
Hahahahah hio ndio ilitokea juzi juzi hapo😅Bora hivyo mkuu, mimi kwa kweli la lunch na Bwana Yesu liliniacha hoi(KKKT hawa) RC lile la kusema sadaka irudiwe mpaka laki saba zipatikane na hapo mnaamka benchi kwa bench, na kumbuka huo /hiyo ni sadaka ya mwisho na zimeshapita kama tatu nyuma.
Ndo vitisho vyao hivyo,Nenda kachangie sadaka, ukiwa mbishi, siku ukifa utazikwa na kiongozi wa kwaya
Kanisani siendi, Haya mambo ya Mungu kama yupo tutakutana huko huko alipoMimi nmkristo Ila ukisoma biblia vizur na kuiishi utajikuta unaishi Kama mwislamu , ukristo Ni tofauti kabsa na biblia Ila uislamu unaendana na biblia 100% nahisi huu ukristo tumepigwa
sio zote au sio sehem zote.Dini zimegeuka biashara.
Amin mkuu na hamna kitu kitapungua kwakoKanisani siendi, Haya mambo ya Mungu kama yupo tutakutana huko huko alipo
Wanadai utafika umechoka sanaKanisani siendi, Haya mambo ya Mungu kama yupo tutakutana huko huko alipo
Nimecheka SanaHizi sadaka zinachanganya sana, misaa masaa 3, lkn masaa 2 zinazungumziwa hela tuu. Ukitaka mchungaji akuguse, toa sadaka. ya kueleweka, ili uende mbele akuombee kwa kukugusa Wasio na hela hawana nafasi. Wachungaji wa Nigeria wamejitajirisha mpaka wanatembelea private jets.
Kah mbn povuHata waislam wako kama wewe wanawapenda waislam wenzao kuliko mkristo anavyo mpenda mkristo mwenzake
kwao muislam ni ndug yake.
Usilete porojo za kwamba wanawasaidia wote wananufaika kule dini imewaweka pamoja ukizingua wanakutoa
huwezi kuwa puppet wazi wazi wa wazungu ninyi mmekubali kuwapa bure wapeni wao walikataa mda mrefu wala sio fadhila za mzungu.
Na kuhusu hayo huo ukristo umeua wengi kuliko waislamu sio tu agano la kale hata baada ya kristo roma wameua
zaidi ya watu mil 50 huo upendo ulikuwa wap?
Ukristo wa agano la kale na uislamu wa leo unatofauti gani, upi bora?
Ndio maana kuna watu walipinga kama Mungu wa agano la kale na wa agano jipya ni mmoja kati
ya wa catholic wa mwanzo kabla ya wa catholic kuungana na roma empire kuua wapinzani wao wa ndani na nje ya ucatholic.
AmenKkkt kimara ina Zaid ya sadaka Saba HV au nane ckozei ila kila inapotajwa sadak fln watu wananyanyuka harak Sana kwenda kutoa na Hakuna anae lalamika ...kuwa cko nyingi ..ipo ahadi na kollect,shukrn ya week ,shukran ya pekee ,malimbuko ,zaka, jengo, 10% sadaka za Siri jmn Ni nyingi ila naona watu wananyanyuka karibia sadaka zote ...Sasa wew lalamika tu ..
Ipo nguvu kubwa na ushindi ktk sadak
Haujajibu swali langu mkuu.Ushawahi kusali huko?
Hata hayo makanisa mengine wanajitetea wazungu hawasali
waliokuwa wanawafadhili wamebaki vikongwe na huko ukiskia wafadhili hawapo michango
itakuja tu.
Wanainuka wanaweka pesa kweli au zuga tu...au ni mwendo wa sarafu sarafu.Kkkt kimara ina Zaid ya sadaka Saba HV au nane ckozei ila kila inapotajwa sadak fln watu wananyanyuka harak Sana kwenda kutoa na Hakuna anae lalamika ...kuwa cko nyingi ..ipo ahadi na kollect,shukrn ya week ,shukran ya pekee ,malimbuko ,zaka, jengo, 10% sadaka za Siri jmn Ni nyingi ila naona watu wananyanyuka karibia sadaka zote ...Sasa wew lalamika tu ..
Ipo nguvu kubwa na ushindi ktk sadak