Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Tena kanisani kwetu wanataka kuanzia noti eti bank hazipokei coins,wameweka sanduku.Sanduku ukitumbukiza coin lzm itoe sauti uone aibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi watumishi ninao wazikiliza na kutoa sadaka kwao, wapo Youtube.
mimi nimekua nikisali Lutheran, naishukuru sana kwa kunipa maziwa nikiwa mtoto mchanga, lakini kwa sasa chakula kigumu ninacho kitaka sikipati KKKT ni nje ya KKKT.

inshort Kanisani siendi, ibada yangu ni Nyumbani tu.
na kusuka makokoro😂😂😂joking
 
Bora nyie kidogo mnaenda mimi nimeamua kupumzika kabisa,

Huwa naangalia historia ya yesu alikuwa hataki hata kunyenyekewa acha kudai malipo alivyokuwa anafanya kazi zake

Sasa hawa wachungaji wa siku hizi wengi wasanii na kinachosikitisha walioishika dini wengi ni makapuku wanaamini huenda katika kutoa kwao Mungu atawaongezea kumbe Kuna madubwi yanazibugia

Ooo wajimga ndio waliwao
Kekundu kekundu x2
 
Habari za wakati huu Wana jamvi, mama yetu yupo Egypt kwa majukumu yake ya kikazi, niende moja kwa moja kwenye mada.

Ibada ni kitu muhimu Sana hasa kwa welfare ya kiroho, kwa sababu Vita ya kiroho ni Kubwa Sana Bora hata mtu akukimbize na panga unaweza ukajitetea kwa kukimbia au kupambana nae na ukashinda ila sio huko upande wa pili (spiritually)

Na laiti tungekua na uwezo wa kuona Vita iliyopo kiroho sidhani Kama tungetazamana mara mbili unakuta huyo huyo anaekupeleka hospitali ndie aliekuroga, ndugu zako wanakupiga juju ili usitoboe yaani Mambo ni mengi na ya hovyo tu.

Lakini ibada za siku hizi kwenye haya madhehebu yetu ni mara Mia ukakaa nyumbani ukasoma biblia na ukaenda kusaidia masikini moja kwa moja na ukabarikiwa.

Sadaka zimekua nyingi Sana mtu unakutana na zaidi ya vikapu vitano,baraka zitatoka wapi hapo? Mtu unaanza kugawa sadaka SI ndo yale yale ya kaini na habili?

Nawasilisha.
Catholic church in germany Ina net worth ya karibu $26 billion, the Vatican amabayo ni sehemu ya kanisa katoliki maarufu zaidi duniani ina net worth ya $4 billion

Huu ni mfano tu jinsi taasisi za kidini zinavyo piga hela. Ila bado wamama huku africa wanaouza mchicha ili wapate japo 2000 au 3000 kwa siku ya dagaa na unga alishe watoto wanaambiwa watalaaniwa wasipo mtolea mungu wanaendelea kulitajarisha kanisa huku wao wanaumia

Takwimu zimetolewa Wikipedia
 
Catholic church in germany Ina net worth ya karibu $26 billion, the Vatican amabayo ni sehemu ya kanisa katoliki maarufu zaidi duniani ina net worth ya $4 billion

Huu ni mfano tu jinsi taasisi za kidini zinavyo piga hela. Ila bado wamama huku africa wanaouza mchicha ili wapate japo 2000 au 3000 kwa siku ya dagaa na unga alishe watoto wanaambiwa watalaaniwa wasipo mtolea mungu wanaendelea kulitajarisha kanisa huku wao wanaumia

Takwimu zimetolewa Wikipedia
Ukitoa sadaka uku unaumia Haina maana
 
Leo hii ndio umejua kwamba dini ni biashara?!mbona n biashara dhahiri na watu wana Trade mda mrefu .
 
Kwa hili nakupinga Sio kweli dini ya kiisilamu imehimiza sana kufanya kazi na kufanya kazi ni sehemu ya ibada ni kweli waisilamu ni maskini sababu sio wengi waliosoma sana hizo zaka zenyewe hazitolewi kihalisia lkn sio maskini kama unavyosema la muhimu ukifanya wema unajifanyia mwenyewe na ukifanya ubaya vile vile unajifanyia mwenyewe ,dini zote zimehimiza hivyo .
Mjitahidi muwe mnatoa zaka coz walimu wenu wa dini wengi ni waganga na wamizinga sana, tofauti na viongozi wa kikristo coz katika ukristo kunafanya din kuendelea kimaendeleo leo hii ukristo ndio din ya kwanza duniani kimaendeleo kuanzia kielimu, kisayansi, na kijamii utake usitake, mfano tu india nenda kaone wakristo wengi ni wasomi na matajiri nimetolea mfano india coz din zote zipo pale ila wakristo ndio wanaopaa kila leo
 
Unaongea nini wewe mbona sikuelewi! We ulisikia wapi waislam wengi maskini!
Wewe wa wapi tembea uone au fanya utafiti tena hata waziri mkuu ni muislam mwenzenu kaongea hilo juzi juzi tu tafuta clip hiyo fb utaiona waislam wengi ni masikin kuliko din nyingine, hata kidunia na kunakoekelekea waarabu wachimba mafuta watafulia sana coz ulaya na marekani wameanza kitumia magari ya umeme na wanadai mbaka mitambo itatumia umeme tu ingawa ulaya siku hizi mafuta yapo mengi yanapatikana tu
 
We Jamaa una matatizo kumbe aliekwambia Nigeria wakristo wengi kuliko waislamu ni Nani? Shits!!!
Wanalingana nusu kwa nusu coz kaskazn ni waislam na kusin ni wakristo kama hujui hilo ingawa data nyingine zinadai wakristo ni wengi hata baadhi ya wanigeria wenyewe wanadai hivyo
 
Yaan ufanye kazi kwa bidii then hela ale MTU na family yake[emoji849]
Acha kukremisha wewe tambua makanisa yana wahasibu na wasimamizi ambao pesa zinatumika ujenzi, kulea yatima, kusaidia wasiojiweza waumini nk, jaribu kuchunguza muumini akikumbwa na tatizo utaona kanisa linambeba kama hujui hilo
 
Kwani tajiri namba moja Africa ni dini gani, na pia tazama list ya matajiri 10 Tanzania wakristo wako wangapi,
Wewe nawe ni kilaza yaani unataja hao waarabu waliokimbia kwao huko, hivi ukiondoa hao sisi ngozi nyeusi kuna mtu anawazidi wakristo 😁😁😀😀🤣 tembea uone utachekwa, nakupa mfano nenda mikoa hii , iringa, mbeya, arusha, hata dar, fanya kujionea uswahilini vijumba vimechoka wote hao majina yao ni ya alla sasa tembea mfano tabata, mbezi masaki huko majina ni wakristo wengi sana na matajiri sitaki kuongea sana fanya utafiti wako coz hata waziri mkuu juzi tu kaongea hilo kwenye msikiti
 
Leo nimewakatalia wana kanisa walikuja nyumbani kuniomba msaada tena,kuna wakati niliwasaidia sasa imekuwa nongwa ,wanataka kunifanya BOT
Acha unafiki wewe eti kanisa linakuomba msaada wewe 🙄🙄 sijui unatokea kijiji gani wewe???! Unanini cha kulipa kanisa wewe???!! Hebu toka hapa
 
Ulichoongea ni vice versa kabisa, uislam unaamini mtu aende kuswali amuombe Mungu then akafanye kazi na Mungu aibariki hiyo kazi, lakini ukristo mwingi unataka watu waamini watafanikiwa kwa miujiza ya pastor na unakuta mtu Hana hata kazi anakuambia pokea gari, Sasa unapataje gari na hauna kazi.
Baadhi ya makanisa sio makanisa yote yapo hivyo jiongeze wewe🙄🙄 waislam wengi ni masikini sana wenyewe ni vigodoro tu na mashehe kuwa waganga 😁😁😀😀🤣
 
Catholic church in germany Ina net worth ya karibu $26 billion, the Vatican amabayo ni sehemu ya kanisa katoliki maarufu zaidi duniani ina net worth ya $4 billion

Huu ni mfano tu jinsi taasisi za kidini zinavyo piga hela. Ila bado wamama huku africa wanaouza mchicha ili wapate japo 2000 au 3000 kwa siku ya dagaa na unga alishe watoto wanaambiwa watalaaniwa wasipo mtolea mungu wanaendelea kulitajarisha kanisa huku wao wanaumia

Takwimu zimetolewa Wikipedia
Kumbuka Germany kuna tax za kawaida na za kanisa linachukua tax zake pia, hivyo ukijiandikisha ww ni Mkristo kila mwezi wanakata tax ya kanisa.( mbali na tax za kawaida)
 
Toka ukristo uje Afrika ...muafrika kazidi kua mpumbavu tu.....wakristo wana utajiri gani hapa afrika zaidi tu ya kupata nafasi za upendeleo kupata elimu na kua mafisadi tu serikalini ndo maana hadi leo wafanyabiashara wakubwa na matajiri zaidi Afrika wamebaki kua waislamu tu wakristo walibebwa tu na mifumo ya kikoloni iliyowapendelea kielimu na ajira humo serikalini na hakuna walichokifanya zaidi ya kua mafisadi tu huo mfumo mliokua mnautegemea kwa sasa unakufa ajira zinakata mnazagaa mitaani tu hata ujasiliamali unawashinda kisa mlizoea kukariri madesa na kupenyezwa kwenye ajira ......na usilolifahamu Mansa Musa alikua ni tajiri kwa dunia nzima ,hadi sasa ambao wanaweza kufikia utajiri wake hata kwa hao mabwana zenu wazungu hakuna na alikua muislam, toka kipindi hiko hadi sasa hakuna cha tajiri wa afrika mkristo alieweza kukimbiza,,.... hata kwenye nchi yetu tunajionea mabilionea kule juu ni wa dini gani nyie wakristo mkitoa hizi ajira za kukariri madesa hakuna kitu weupe kabisa
Unachekesha sana wewe hivi bado unajikinga kwenye ngozi ya hao waarabu waliokimbia kwao??!! Eti matajiri wakubwa fanya utafiti hivi unajua tz kuna mabilionea wangapi???!tafuta gazeti la mwananchi la juzi uone, ukitoa hao waarabu wako mliobaki ni wacheza vigodoro tu, hilo hata waziri mkuu kaongea juzi kwenye msikiti, wakristo matajiri wengi kinoma hawajioneshi hovyo tembea mikoani halafu fanya utafiti bila ushabiki ndugu
 
Back
Top Bottom