Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Huu mwezi wanakuwaga na hasira hasira Sana sababu ya kushinda na njaa
Ake Akanji weupe?Man city mane hawezi kucheza. Pep hapendi weusi
Ake Akanji weupe?
DuhhhShida sio weupe ama weusi , pep hapendi wa africa ndio maana hata prime etoo alimkataa, prime yaya toure alimkataa. Huwa anatazama mweusi anacheza timu ya taifa ya nchi gani ?
AKANJI ANATOKA USWISS, USWISS SIO AFRICA
Duhhh
Shida sio weupe ama weusi , pep hapendi wa africa ndio maana hata prime etoo alimkataa, prime yaya toure alimkataa. Huwa anatazama mweusi anacheza timu ya taifa ya nchi gani ?
AKANJI ANATOKA USWISS, USWISS SIO AFRICA
Leroy sane ni mtu mpole mno yaaniMane ni mtu poa sana
Very humble
Hadi amefika hiyo hatua ujue alikerwa kiasi cha kushindwa kuzuia hasira yake.
Na hivi ni mwafrica basi ndio atakandiwa hadi basi.
Kashoga kalimletea za kurembua akakafanyizia.Mane ni mtu poa sana
Very humble
Hadi amefika hiyo hatua ujue alikerwa kiasi cha kushindwa kuzuia hasira yake.
Na hivi ni mwafrica basi ndio atakandiwa hadi basi.
Akikujibu ni tagAke Akanji weupe?
Mdutch ni AKEPep hana ubaguzi wowote ni kipaji chako na kufuata mfumo wa mwalimu ndio vinakuhakikishia kubaki kuwa mchezaji wa Pep
Waafrika tunapenda sana kujijaza uongo eti hapendi weusi kutoka africa huo ni uwongo mkubwa
Pep ameacha wachezaji wazungu wengi kwenye kikosi chake kuliko weusi so msiwe mnakurupuka
Akanji ni mdutch sio mswid
Msimu ujao simba watamchukua kwa mkopo[emoji599] Bayern have suspended Sadio Mané after his fight with Leroy Sané after Man City game when he punched Sané in his face after having an argument during the match.
Bayern announce that Mané will not be in the squad against Hoffenheim. In addition, the Senegalese will be fined. https://t.co/3ZL3aKbWx5
Je ni bora angebaki Liverpool?
Kwani Sane ni mzungu!?Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.
Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
Kwani Sane ni mzungu!?Ujerumani wana ubaguzi wa kisenge sana. Mane ni kijana mpole na huu ni mwezi mtukufu. Man City chukueni chuma hicho
Ebwanae, kama nilikuwa mawazoni mwako. Nimeuliza swali hili hiliSane ni mzungu?
🤣🤣🤣kasema weusi lakini anaurahia wa Swiz… imemrule out kuwa black black.. so Akanji/AKI tunaweza waita blighter black melaninsAkikujibu ni tag