Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Shida sio weupe ama weusi , pep hapendi wa africa ndio maana hata prime etoo alimkataa, prime yaya toure alimkataa. Huwa anatazama mweusi anacheza timu ya taifa ya nchi gani ?

AKANJI ANATOKA USWISS, USWISS SIO AFRICA
Duhhh
 
Pep hana ubaguzi wowote ni kipaji chako na kufuata mfumo wa mwalimu ndio vinakuhakikishia kubaki kuwa mchezaji wa Pep
Waafrika tunapenda sana kujijaza uongo eti hapendi weusi kutoka africa huo ni uwongo mkubwa
Pep ameacha wachezaji wazungu wengi kwenye kikosi chake kuliko weusi so msiwe mnakurupuka

Akanji ni mdutch sio mswid

Mdutch ni AKE
 
[emoji599] Bayern have suspended Sadio Mané after his fight with Leroy Sané after Man City game when he punched Sané in his face after having an argument during the match.

Bayern announce that Mané will not be in the squad against Hoffenheim. In addition, the Senegalese will be fined. https://t.co/3ZL3aKbWx5

Je ni bora angebaki Liverpool?
Msimu ujao simba watamchukua kwa mkopo
 
Mane pacha wake Salah.
Hawa watu wanapaswa kucheza pamoja, wanategemeana.

Sane naye baba ake ni msenegal mama ndi mjerumani kulikoni anagombana na wanyumbani mwenzake bwana Mane?
 
Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.

Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
Kwani Sane ni mzungu!?
 
Back
Top Bottom