TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Una akili timamu wewe?

Yaani unaleta siasa mpaka msibani, vumilia kidogo tumstiri marehemu turumbane tena kwa hoja madhubuti.


Umeelewa maana ya "Taarifa zaidi kuwajia"?

Umeambiwa taarifa zaidi utapewa hivi punde hivo subiri

Ushambiwa taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Ukiwa CCM lazima uwe mjinga , uwe na roho mbaya , mnafiki , uwe na roho ya kichawi yaani jitu linaambiwa taarifa zitafuata lenyewe linaanza ukosoaji wa kitabulalasa kiempty head , hivi hili li CCM limeandika nn hapa .

Yeye hajafa kwa matatizo ya kushindwa kupumua?

Sasa ndo umeongea nini hapo,Never rejoice when someone is going through difficulties like losing loved ones, even yourself u will die one day at a time,death knows no political boundaries,


Alale salama Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba Erythrocyte 🙏

Mwambie huyo kamanda uchwara wa ufipa.

RIP Arcado Ntagazwa.
Wakuu njooni muone kinacho endelea hapa, hapa wala watu hawahitaji taarifa zaidi bali wesha jiridhisha kuwa huyu mtu kafa kwa Corona tofauti na yule malaika kule yeye tunatakiwa tusubiri taarifa zaidi.
 
Jamani mabilionea wa nyumbani wanakufa sana huu ugonjwa unanini na sisi
 
Tuendelee kuchukua tahadhari wakuu, huku tukiendekea kumuomba Mungu.

Usikubali kumsikiliza kiongozi wako aliyekengeuka na anayekwambia eti CORONA haipo kwa kuwa Mungu aliiondoa. Mungu hadhihakiwi.

Hosea 4:6: Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, asema Bwana!
 
Mna undugu naye au ni zile juhudi za kutaka kuonyesha kuwa watu wengi wanakufa na chanzo cha kifo ni CORONA ambayo mnamsingizia JPM kuwa kasema haipo.
 
Kwa kasi hii ya vifo sasa hivi madaktari watakazwa kusema mgonjwa kafariki, wataambiwa wasema mgonjwa mahututi na ndugu hawaruhusiwi kumuona. Hapo ndio itakuwa mwisho wa mgonjwa wako.

Mgonjwa ataendelea kuwa mahututi milele.
 
Mna undugu naye au ni zile juhudi za kutaka kuonyesha kuwa watu wengi wanakufa na chanzo cha kifo ni CORONA ambayo mnamsingizia JPM kuwa kasema haipo.
Huko kwenu tayari...moshi tayari angani....
 
Hivi hakuna mstaafu anayeweza kuongea na ngazi ya juu ili hili jambo lichukuliwe serioulsy.
Too late. Hata likichukuliwa seriously ni kazi bure kwa sasa. Tegemeo kwa sasa ni herd immunity baada ya miezi sita na kuendelea. Wazee na wenye ishu za presha, moyo, kisukari, obesity waage tu asubuhi na mapema...
 
Too late. Hata likichukuliwa seriously ni kazi bure kwa sasa. Tegemeo kwa sasa ni herd immunity baada ya miezi sita na kuendelea. Wazee na wenye ishu za presha, moyo, kisukari, obesity waage tu asubuhi na mapema...
Au ni confidential depopulation plan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…