TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Kwani wewe unaamini kama kuna KUFA?
Siamini, najua.It's the second law of thermodynamics.

Usilichanganye jibu hilo na some fucked up logical non sequitur.

Hujajibu swali langu, kwani umelazimishwa kusoma?
 
hauamini wakati unaona WATU wanakufa?
Wewe unajua kusoma kwa ufahamu au ni ngumbaru ambaye unatakiwa kujifunza kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa kuamini ni nini na kujua ni nini?

Unajua Kiswahili?

Maana nimeandika Kiswahili, unashindwa kusoma, ningeandika Kiingereza je?
 
Angalia TBC1 na Radio ya taifa na utajua kwamba wizara ya afya inatangaza sana juu ya kuchukua tahadhari, na imekuwa ikifanya hivyo toka Corona ilipoingia kwa mara kwanza
Kwanini waliotoa matamko kama namna ya kukumbusha wanalaumiwa
 
Hauamini kama kifo kipo.
Ila unaamini kuwa watu wanakufa na corona
Wewe unajua kusoma kwa ufahamu au ni ngumbaru ambaye unatakiwa kujifunza kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa kuamini ni nini na kujua ni nini?

Unajua Kiswahili?

Maana nimeandika Kiswahili, unashindwa kusoma, ningeandika Kiingereza je?
 
Hauamini kama kifo kipo.
Ila unaamini kuwa watu wanakufa na corona
Kuamini si kitu muhimu kwangu, kitu muhimu ni kujua.

Umeshaelewa hapo?

Ukijua umepita kuamini, umeelewa hapo?
 
Kwanini waliotoa matamko kama namna ya kukumbusha wanalaumiwa
Sababu si kazi yao, kuna miiko na taratibu ya kufikisha taarifa hasa wakati wa majanga. Vinginevyo leo ataibuka mtu atasema Dar yote wana Ebola, hiyo ni kazi ya mamlaka teule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…